Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Nipe namba yako kwa Pm nitakupigia sasa hivi tuongee.
 
Huu uzi nimekutana nao leo na kunikumbusha ya wiki 2 zilizopita...

Juzikati nilimpa namba manzi mmoja muha wa kigoma, alivyotoka nikatonywa na washkaji kuwa ni muwangaji balaa anawanga na bibi yake. Yaani anawawangia hata wanaume wanaomchapa.

Alivyoanza kunitext sijibu na akipiga sipokei hadi amechoka na kuacha mwenyewe. Nikikutana naye njiani ana aibu kinyama, nadhani ni inferiority complex, anahisi nimebaini matatizo yake ama namuona mbaya.
 
shida sio kupiga shida tunafikiria mizinga....ndio kimya hadi tupate hela ndio tunapiga
 
Mpaka upewe namba yaaani manaake goli umebaki mwenyewe tuu kufunga....so huwa wengine tunatest ili midomo yetu isiwe zege....tukipata namba maana yake perfomance yetu bado iko vizuri sasa tuwapigie ili iweje....tunatafuta ligi nyingine ngumu zaidi!!
 
Na wengine huwa tunachukua Namba sababu baada ya maongezi mnavyotuangalia tunavyoagana macho yenu yanasema (take my no. basi!!) na hili kuonekana marijali basi tunawaomba no. as if tuko interested ila hatuko kabisaaa.......mtusamehe mmetaka jua ukweli
 
Na sometime yule shetani aliyetufanya tuombe namba hua anaondokaga so tunagahili mambo mabaya asiyopenda mwenyezi!!
 
Dah.....uko kwenye waiting list....vumilia...hakuna namna...[emoji12] [emoji12]
 
Hujapigiwa hadi leo? nipe namba yako nikupigie mimi
 
Kwakweli mimi nikikuomba hata usinipe, maana sitokupigia asilani
 
lakini siku wadada wanatoa namba kirahisi hadi unaogopa. hatupigi ng'o
 
Tunajipanga kwanza sbb ukipiga tu ni mzinga unafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…