Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Hiyo mi huwa inanikuta sana, mara nyingi huwa nasahau, na huwa inatokea baada ya kuwaomba wengine ka wewe wa 4 ivi.
 
Wengine hua tunajaribu kuridhisha macho ila hatutoi nafasi moyoni

Ni hulka ya mwanaume kutamani wakati huohuo ukiachana nae anakutana na figa tofauti na wewe kusema na kuomba namba hua kuna tupa nafasi ya kuwapunguzia mizigo wake zetu kwa kuwawaza watu wengine


Hayo yooooooote nimeonge pumba

Ukweli ni kwamba timechosha na simu moja kibomu eti mnataka matumizi
 
Sasa kwa nini uombe wakati hauna haja nayo jamani?
 
Watasema wako busy. Unajuiliza vip wako busy? Mungu mwenyewe alipumzika isitoshe mungu ndo inabidi aseme yuko busy maana anahudumia wateja wengiiii mno.

hospitalin wagonjwa wanamuita.

Walopata ajari wanauita

huko makanisani ndo usiseme

mungu wa tanzania nae yupo busy anaomba watu wamuombee kwa mungu kha!


sio hao tu hata mwizi yuko busy anamuomba mungu asikamatwe.

Sembuse wewe kikazi kimoja eti uko busy?? Busy my foot!

Bora hata sisi ambao tupo busy tunamshukuru mungu kwa kukamata li bombadia huko canada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…