Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Duuuh!!.....Kuna mtoto mwenye chura nimeomba namba yake ya simu kule badoo nilikuwa sina mpango wa kumpigia sasa inabidi nimpigie!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Watasema wako busy. Unajuiliza vip wako busy? Mungu mwenyewe alipumzika isitoshe mungu ndo inabidi aseme yuko busy maana anahudumia wateja wengiiii mno.

hospitalin wagonjwa wanamuita.

Walopata ajari wanauita

huko makanisani ndo usiseme

mungu wa tanzania nae yupo busy anaomba watu wamuombee kwa mungu kha!


sio hao tu hata mwizi yuko busy anamuomba mungu asikamatwe.

Sembuse wewe kikazi kimoja eti uko busy?? Busy my foot!

Bora hata sisi ambao tupo busy tunamshukuru mungu kwa kukamata li bombadia huko canada.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imebidi nicheke tu, naomba namba yako me siko bize sana[emoji12]
 
Duuuh!!.....Kuna mtoto mwenye chura nimeomba namba yake ya simu kule badoo nilikuwa sina mpango wa kumpigia sasa inabidi nimpigie!![emoji53][emoji53][emoji53]
Hebu piga haraka sana.
 
Mhh! Alikufanya nini au ndiyo hivyo tukiona manyoa ujue kaishaliwa..! [emoji16][emoji16][emoji16]

Street teacher
Hapana yule brother wangu na shemeji pia.
 
Back
Top Bottom