Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Assist ndio kikwazo dada yangu.
Maana wanawake nao hawana break ya kuombea Assist
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Hivyo mdogo wangu unaogopa kupiga kisa utaombwa assist. Ila sio wote ujue.
 
Hahaaa!, Mbonaa watengeneze business cards kwa kweli, waache mambo ya kuandika namba kwenye kikaratasi au mkononi...lol!


hahaahahahahahahahahaha aibu sana ndo hawa unaenda nae hotelin anauliza bei kwa nusu saa zima mnauliza tu bei !khaaa! we km una mwanamke we fika agiza msos na vinywaj pigeni masuala ya kusema heinken kubwa sh ngapi yaishe jaman! we agiza kunywa PAY THE BILLS
 
Mnatongoza kwa mbwembwe hivi ukiombwa hela unakimbia.
 
Aisee umenikumbusha Acha nimpigie Jamila nlichukua namba zake mwezi sasa
 

Acha kutudanganya, Ikifika muda wa jamaa kuambiwa aoshe vyombo utamsaidia.?
 
Ha ha ha hiyo ni mbinu tu ya kukuchota akili ili ujae...
Mi nikipewaga namba naweza kaa hata siku 3 bila kupiga, zaidi nitakujulisha tu kwamba hii ndo namba yangu!

Mwingine nilikaa kama wiki hiv ikabidi aanze kuuliza ulikuwa unasemaje!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Hivyo mdogo wangu unaogopa kupiga kisa utaombwa assist. Ila sio wote ujue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona huyu anayelalamika, maana alikuwa kashaandaa mistari ya Assist halafu mwanaume kamshtukia.
 
Ha ha ha hiyo ni mbinu tu ya kukuchota akili ili ujae...
Mi nikipewaga namba naweza kaa hata siku 3 bila kupiga, zaidi nitakujulisha tu kwamba hii ndo namba yangu!

Mwingine nilikaa kama wiki hiv ikabidi aanze kuuliza ulikuwa unasemaje!!
Sasa si bora hata ujitambulishe mtu atajiongeza!
Kuna ile umepewa namba inakua ndo kimoja imetoka.
 
Nilikutana na kidosho mmoja wa kidosi kwenye train, nakwenda kwenye mkutano mmoja wa corporate midtown Manhattan.

Mwanako nimepiga suti zangu zile za corporate meetings, nimetokea kama Denzel in his prime.

Zile suti huwa najaribu sana kutopiga unless it's absolutely necessary, kwa sababu watoto wa kike fulani huwa wanapata shida sana kuji contain.

Mtoto wa kidosi si mwenyewe kaanza kujileta karibu kama mdudu anayefuata taa inayowaka?

Mtoto wa kidosi wadosi fulani wale kama belly dancers wa Bollywood, katoka katoka hasa.Anajishaua shaua tu, mara sijui unafanya kazi wapi, mara kafungua laptop.

Mara sijui tufanye professional networking wote tunafanya kazi field sawa mji mmoja ni vizuri kujuana.
Nikampa benefit of doubt labda kwelianatakaprofessional networking.

Sasa na mimi babako huwa natoa moves za ki James Bond. Nikapiga naye stories poa, akaomba yeye namba nikampa, na mimi nikachukua yake.

Lakini mwisho wa mchezo nikasemahuyu nampotezea kwa sababu hata kama mzuri vipi, siwezi kumsaliti Bi. Zuhra mwenye neema zote kwangu.

Mpaka leo sijampigia simu.
 
Maashaallah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…