Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.

Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.

Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.

Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.

Please remember to call back.

4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg

Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Nipe namba yako nikupigie[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena anakupa simu yake uandike teh teh,
Ukimaliza anauliza nisave nani?
Unamtajia kwa mbwembwe..
Baada ya hapo chaliii huoni simu wala sms
mnaomba omba sana...yaani dk mbili nyingi mnakuja na bill zenu zile...
 
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.

Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.

Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"

Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.

Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.

Please remember to call back.

4b015155e1b3215f74aacab08cf5c8a8.jpg

Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Wajuaje huyo aliyekuomba namba labda kashakufa na huna habari

Tatizo na nyie mkiombwa mnakazaaaa, pengine mtu anashuka baada ya vituo viwili wewe humuelewi tu. hebu mkiombwa toeni hizo namba jamani
 
Back
Top Bottom