Wanaume mko wapi?

Wanaume mko wapi?

hahahha....sasa unavigezo vyakuwa mke bora maana unaoneka desparate kidogo
 
Weka particulars zako tuone na namna ya kukusaidia au ni pm.
 
Join Date : 7th November 2012
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received 0

Likes Given 0

madame X njoo umfunde madem S maana ni kama hujabandika sufuria la ugali halafu unategemea ugali "don't expect hot soup from empy pot"
 
Last edited by a moderator:
Jamaniii shosti, leo ndio umeweka tangazo na unataka upate leo leo? hebu tulia kidogo usiwe desparate kiasi hicho utapata vimeo vitakavyokuumiza, wapo wanaume watakaoweza kukusoma kwa haraka na kuona uko so desparate wakakuliza, watch out , nenda polepole na kwa tahadhari. Kila la heri.
 
Mie mwanangu Madam s sijui kuwa kuna kiumbe kama wewe. Huwezi kutegemea watu wa kupm wakati wewe mwenyewe umeishajichokea. Vumilia utapata na hata ukikosa wewe si wa kwanza ila huna haja ya kujidhalilisha na kulalamika utadhani ni mwisho wa dunia mwanangu.
 
Data za yeye kujiunga jf na ombi lake vinasadifu kuwa kajiunga hapa kwa ajili gani! Itafahamika tu mbele ya safari.
 
Tulia mdogo wangu...! Wataku PM mpaka utawakimbia.! Vuta subra kidogo..!!
 
Hahahahah baba mbona mwamkatisha tamaa mrembo? Mpeni moyo!
Mie mwanangu Madam s sijui kuwa kuna kiumbe kama wewe. Huwezi kutegemea watu wa kupm wakati wewe mwenyewe umeishajichokea. Vumilia utapata na hata ukikosa wewe si wa kwanza ila huna haja ya kujidhalilisha na kulalamika utadhani ni mwisho wa dunia mwanangu.
 
Binti yangu Ciello wa Cicero, hatumkatishi tamaa mrembo. Tutampaje moyo wakati yeye keshajikatia tamaa? Maisha ni mapambano na si kulalamika au kukata tamaa. That is the lesson if anything.
 
madam s naona unalianzisha halafu unasepa. mara ex-boyfriend anakutaka tena,
mara wanaume hawaku-pm. hebu yaribu kusimamie uzi wako unawezapata ufumbuzi
wa issue zako.
 
Mbona unatutafuta kwa nguvu sana ni hilo tu au una agenda nyingine
 
Back
Top Bottom