Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Maendeleo watawaza saangapi na mwanamke akimpata wakumsikiliza wanazaa watoto baba tofauti yeye anakenua tu mimeno isiyo pigwa hata mswaki vizuri
Hawa viumbe ndo huvuruga familia.ka kichwa cha nyumba wewe ufikirie dume linawaza ngono tu kuliko familia mi ka mke kwanini nihangaike naye wakati wanaume wa nje wanipenda nakunirahishia mambo yangu, huyo anayeniheshimu na mzalia hata kumbinukia kabisa walah yeye aendelee nakuchepuka loh
 
Nawe ukiona mke hayuop kaanaye muulize tatizo nini lakini muda wakukaa na mke hakuna muda wote kazi na michepuko mke naye afanye nini wakati naye anamoyo wa nyama na hisia anazo ukiona mke naye anacheat tambua kavumilia kiwango cha lami
 
Hawa viumbe ni watamu duuh. Nakumbuka kuna beki tatu aliletwa hom ikawa mama anamfokea sana. Mi nilikuwa karibu nae sana. Alikuwa na machozi ya karibu akifokewa tuu analia hadi kushindwa kula. Nilichukua jukumu la kumliwaza kila akiwa na huzuni na yeye akawa karibu na mimi siku akiwa anafua ananiambia kama nna nguo chafu nimpe anifulie. Aloooo siku narudi kutoka chuo nakuta kakaa anaangalia tv kavaa kanga tuu, pale ameona na mimi jicho dk moja kwa tv dk 3 kwake si akajipindua. Nilimnyoosha vilivyo na mpaka sasa sijawahi kula mbunye tamu kama ile. Sahv naambiwa alishaolewa ana mtoto mmoja
 
Sasa hapo siunaanza kumpeti peti mbali hafu ujue mama akiwa na mtoto huchoka nakumsaidia kunahtaji sasa nyie huwa hamjali mi mwanaume akiniheshimu na mweshimu ila akijifanya anaendekeza ngono kwa kuchepuka ndo ameharibu maana actions zangu zaweza kumvuruga kabisa mana nitakuwa cjali,
 
Nini % zote hata zero simuamini mtu anaitwa mwanaume analala na papuch usiku Kucha anaamka anazua safari kumbe anaenda hoteli kugegeda papuch tena looh naanzaje kumuamini mwanaume
Yaani akirudi salama unasema asante Mungu mengine mmmm tabu tupu na ujinga tu
 
Sasa mambo ya kuanza kuandaana na jitu vivu ya kazi gani. Wacha mie nikojoe nilale tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sababu ipo muulize kunani my wife wangu mrembo utaambiwa shida iko wapi
 
Wanawake ni wepesi sana kusamehe hata ukimuudhi sahizi lakini akibembezwa na mzigo akapewa vizuri yanaisha lakini ubabe wa me kuna wengine mpaka wananunia wake zao hao ndiyi wanume wa kizazi hiki
Shida ni kuwa sio KE wote, mwanamke mwenye akili za kuchepuka ili amkomoe mumewe hata ukimuomba msamaha ni kazi bure kwanza wengi ni watu wamashindano. Atataka akukalie kichwani kitu ambacho mwanamume ataishia kuku ignore kama sio kukupiga makofi!
 
Naomna kama unakaribia kwenye ukweli!
 
Mwanaume akianza kuchepuka you will notice tu maana sisi ka walezi tunajua anaanza kujishtukia na tukishajua mapenzi yanakufa automatic na vile sisi huwa hatusemagi ka wanaume sasa ukikutana na danga linalojali wala hujisumbua mana kashakutoa ugwsndu wako na vile sisi tuki date na watofauti na mume huwa tunakusahau wewe wa ndoa nakujali kunaisha, sasa wenzetu wao ni kutangaza tu
 
Tatizo wao wanajifikiria wao tu haja za mwili kuliko wenzi wao matokeo yao mambo yanashindikana licha ya kuchepuka wao ndo huwa wahanga wakubwa kuliko wake zao.
Mke yupo nyumbani akirudi yupo busy na kazi zake badala akae na mke yupo laptop zake kuchat tu hata muda wakukaa na mkewe waongee mke apate joto la mme anawaza tu kesho achepukie wapi mke naye anahisia mwili unakufa ganzi
 
Hio kuchomeka chomeka inatokana na response ya mwanamke wako. Kama hatoi ushirikiano utavumilia na utamsema kwa muda ila later utachoka. Mwanamke ajishiki yani yupo tu dah. Unaamua ukujoe ulale tu *****.
 
Hawa viumbe sio wakuwaamini kabisa ni bora kuishi nao kimachale chale tu yeye ahangaika na mchepuko na wewe wajiandaa na yako siku ukimshtukia analazwa ICU
Ndiyo yale mke kajenga nyumba si ajabu alikuwa anahangaika na kuhonga huko mke anaakili sana kujenga na kuishi humohumo yeye kutembeza bakora lake tu kama kifimbo cheza stress juu
 
Duuuuuuuhhhhhh,noma sana!
 
Mke yupo nyumbani akirudi yupo busy na kazi zake badala akae na mke yupo laptop zake kuchat tu hata muda wakukaa na mkewe waongee mke apate joto la mme anawaza tu kesho achepukie wapi mke naye anahisia mwili unakufa ganzi
Halafu wasivo na akili ana mlaumu mkewe aliye mzalia watoto, kulea tu ni kazi yeye anahangaika na Malaya hafu anajiona mjanja, dawa ya hawa viumbe ni kutafta kipoozeo tu nakumuonyeshea actions
 
Hasira hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…