Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Mke yupo nyumbani akirudi yupo busy na kazi zake badala akae na mke yupo laptop zake kuchat tu hata muda wakukaa na mkewe waongee mke apate joto la mme anawaza tu kesho achepukie wapi mke naye anahisia mwili unakufa ganzi
Duh huyo atakuwa mtu wa I.T labda! Sie watu wa hospitality and tourism lazma tutalii maeneo mbali mbali mwilini kwako!
 
Watu na mauzoefu yenu!
 
Tena kwa moyo mweupe pee yeye na jasho za beki 3 anajisifia [emoji39] [emoji39] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Akili za kudanga ni za wanawake waliojikatia tamaa na maisha. Huwezi kuwa mke mwenye kujiheshimu ukaacha kuogopwa na mumeo kabisa. Umemkamata mume vizuri anaanzaje kuchepuka yani!
Solve matatizo na mumeo acha kukimbilia kudanga.
 
Ndiyo yale mke kajenga nyumba si ajabu alikuwa anahangaika na kuhonga huko mke anaakili sana kujenga na kuishi humohumo yeye kutembeza bakora lake tu kama kifimbo cheza stress juu
Ndo na mwanamke usipokuwa na akili unaweza angamiza familia huna unachofanya ndo mana siku hizi hzi tabia zinafanya wanawake wafanye mambo yao kisiri siri kwa ajili ya watoto hata miradi acjue maana ukiendekeza watoto.hawaezi kuwa na future mama usiposimama, kuna mama mumewe alikuwa tajiri lakini michepuko ikafanya maendekeo yao yakawa duni mama naye wakawa wanashindana na michepuko kwa waganga mwishowe mwanaume akafa familia haina mbele wala nyuma, basi huyo mama huwa ananihusia ni fight tu vyovyote kwa ajili ya watoto, hafu huyo mume alivougua mchepuko ukamkimbia mke mkubwa ndo akamuuguza huku akiwa anajiharishia tu. Mi mwanaume anayeendekeza starehe bila kuweka familia mbele ni waku muignore tu aisee.
 
Kuna alama za baba wa mtoto lazima nitazijua tu. Hapo hatua inayofuata ni DNA test, ndo utajua nani aliumbwa kwanza kati ya mwanamume na mwanamke.
Hapo ndo utajua kwa nini mwanamume ana sauti nzito kuliko mwanamke.[emoji124]
Utashituka saangapi sauti kubwa hata wanawake wapo wenye sauti kubwa hata mbuzi sauti anayo
 
Mke yupo nyumbani akirudi yupo busy na kazi zake badala akae na mke yupo laptop zake kuchat tu hata muda wakukaa na mkewe waongee mke apate joto la mme anawaza tu kesho achepukie wapi mke naye anahisia mwili unakufa ganzi
Ngoja uolewe utayajua. .
 
Hio kuchomeka chomeka inatokana na response ya mwanamke wako. Kama hatoi ushirikiano utavumilia na utamsema kwa muda ila later utachoka. Mwanamke ajishiki yani yupo tu dah. Unaamua ukujoe ulale tu *****.
Hafu ujue haya madawa ya uzazi hufanya mke kuwa na hormonal imbalance huko chini kunakuws kukavu hamna ute sasa wewe mume una mshauri ulaji ulio bora sio kumwacha nakukimbilia kuhangaika huko nje. Mahusiano hujengwa na wawili
 
Sasa akuhudumie vepe wakati una mchepuko tena beki Tatu hyo si dharau bora na yeye atafte anaye mhonga naKumjali dawa ya moto ni motroo
Siwezi chukua wa hovyo hovyo naenda kuchukua ambaye hata yeye akimuona anarudi nyuma kwanza kujipanga
 
Jibu:
Papuchi za wadada wa kazi ni changa, soft na safi ilhali papuchi za wamama wenye nyumba wengi zinakuwa hazina adabu kiusafi na kiubora. Ndio maana wababa wengi huishiwa uzalendo na kuamua kugegeda akina dada wa kazi.

Suluhisho/angalizo:
Wamama wenye nyumba msipobadili mienendo yenu na kujiweka safi & sexy, beki 3 wataendelea kuchukua nafasi zenu mpaka mlie machozi ya damu!
 
Sasa mumeo hana hadhi tena, kwa haya maelezo sio kuwa inatakiwa wewe ujifinze wapi ulikosea mpaka yeye kufikia kuchepuka na beki 3?
Uko busy na beki 3 saangapi utawaza ya maana
 
Sidhani kama unaweza muheshimu mume kwa akili hii. We utakuwa wale wanawake ambae una mume ila uridhiki una madanga pembeni. You can not be free while having multiple relationships aisee.

Na hii ndio inakupa kiburi kua kukitokea mis understanding yeyote unakimbilia kuchepuka nje tu ili umkomoe mume.
 
Hahahhaaa stress na pressure zinawamaliza mapema mke unamuacha na marafiki zako
 
Sasa mumeo hana hadhi tena, kwa haya maelezo sio kuwa inatakiwa wewe ujifinze wapi ulikosea mpaka yeye kufikia kuchepuka na beki 3?
Yani nijifunze kwa kuota huo mda sina tena maana hujataka kuniambia solution yako ukakimbulia kuchepuka [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa na Mimi kuna danga langu linanibembeleza nakunipa mafezwa pia kunirahishia mambo si bora nimtunuku tu yote kabisa
 
Hahahaha anapewa yote [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hadhi ya mwanamke kwa mwanaume ni kyuma tu, pesa zako. Heshima, yote kwa yote ni kupata kwenye banda la kuku au Five Star Hotel, wote tumepata kyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…