Ndo na mwanamke usipokuwa na akili unaweza angamiza familia huna unachofanya ndo mana siku hizi hzi tabia zinafanya wanawake wafanye mambo yao kisiri siri kwa ajili ya watoto hata miradi acjue maana ukiendekeza watoto.hawaezi kuwa na future mama usiposimama, kuna mama mumewe alikuwa tajiri lakini michepuko ikafanya maendekeo yao yakawa duni mama naye wakawa wanashindana na michepuko kwa waganga mwishowe mwanaume akafa familia haina mbele wala nyuma, basi huyo mama huwa ananihusia ni fight tu vyovyote kwa ajili ya watoto, hafu huyo mume alivougua mchepuko ukamkimbia mke mkubwa ndo akamuuguza huku akiwa anajiharishia tu. Mi mwanaume anayeendekeza starehe bila kuweka familia mbele ni waku muignore tu aisee.