Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Duh huyo atakuwa mtu wa I.T labda! Sie watu wa hospitality and tourism lazma tutalii maeneo mbali mbali mwilini kwako!Mke yupo nyumbani akirudi yupo busy na kazi zake badala akae na mke yupo laptop zake kuchat tu hata muda wakukaa na mkewe waongee mke apate joto la mme anawaza tu kesho achepukie wapi mke naye anahisia mwili unakufa ganzi