Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Akili za kudanga ni za wanawake waliojikatia tamaa na maisha. Huwezi kuwa mke mwenye kujiheshimu ukaacha kuogopwa na mumeo kabisa. Umemkamata mume vizuri anaanzaje kuchepuka yani!
Solve matatizo na mumeo acha kukimbilia kudanga.
Lazima kudanga kwa manufaa na wanaume wenye hadhi ili mambo yaende kusema kuhangaika na mume eti kumpendezesha asichepuke huko nikujichosha bora kutafta tu hela by any means
 
Aisee kweli mumeo anayo kazi hadi sasa najua ushamsaliti kwa zaidi ya mara moja na madanga. Nyie wanawake mkumbuke mama zetu walikuwa wavumilivu sana na kuepusha matatizo kama hayo walijicommitt 100% kwa baba zetu.

At times nadhani uvumilivu ndio hasa factor kubwa inayopeleka ndoa nyingi kuingia matatizoni. Kwahio jamaa akikugundua akakuacha utaolewa na danga sio!?
 
Kucheat ni tabia kama tabia tu wanajiliwa sana na wake zao lakini hawaliziki
Yawezekana wapo wanawake wachache wanaowajali waume zao, mwanamume wa namna hiyo akichepuka sio fair kwa kweli. Lkn kundi kubwa la wanawake hawajali, ndo maana siku hizi michepuko ndo habari ya mjini.
 
Na sisi tutakuwa tunawazalia wana wanaume wengine mlee vzuri wakikua twamaga hadharani
 
Akili za kudanga ni za wanawake waliojikatia tamaa na maisha. Huwezi kuwa mke mwenye kujiheshimu ukaacha kuogopwa na mumeo kabisa. Umemkamata mume vizuri anaanzaje kuchepuka yani!
Solve matatizo na mumeo acha kukimbilia kudanga.
Hapo ni kukimbiza mwizi kimya kimya wake hawanaga kelele maana akili za me tunazijua
 
Lini michepuko ikamtunza mme wa mtu wao wanatafuta maslahi basi sasa hawa wenye vichwa 2 akili zinagawanyikaga kabisa zinashindwa kutulia kabisa mwishowe ndiyo huo
 
Sahizi ndiyo nikushauri kabal hujaanza kwanini usinge ongea na mke kwanza endeleeni tu kuchepuka mkizani wake ni wajinga kiasi hicho mngejua wanawake wana akili kuwazidi msingekuwa mnafanya upuuzi huo ni basi tu tunawaheshimu tu
Mke unakuwa ushaongea nae kuhusu viwango vyake mchezoni kupungua. Anaahidi kujirekebisha ila at last unakuta kuwa hajirekebishi. Sasa mwanaume kulalamika jambo hilo hilo kila uchao manaake ndio nini. Unaamua kupotezea
 
Sasa wewe mwanaume usipojiheshimu unataka Nani akuheshimu wewe uko na beki Tatu acha na Mimi nikatafte wakuni ridhisha huko nje ngoma iwe droo mana wataka mnato nami acha nikatafte ya punda. Mwanaume mwenye ubusy wakusaka hela hata ngono huwa hawazi, na akiniudhi tu naenda kujipooza kwa danga langu tena ukute lanipa hela eeeeh[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mungu anipe nini na kuwa nasali uhamie kwa mchepuko kabisa ili niwe huru
 
Hao ndiyo wamekuwa wasafi kuzidi wake zenu hizi si ndiyo zarau baada ya kullala na beki 3
 
Huwa inafika wakati natamani labda nisingesoma maana upeo wangu ni mkubwa hakuna sehemu Mr akacheat nisijue hadi najichukia maana stress zingine za hovyo tu
Pole sana isije kua umejikaririsha baadh ya vijitabia ukavipa kipao mbele.
Hata hivyo kwa vile una upeo mkubwa utakusaidia kutatunza ndoa yako vyema
 
Hahahhaaa stress na pressure zinawamaliza mapema mke unamuacha na marafiki zako
Sio tu stress imagine awe na michepuko mitano yetu airidhishe, atafte hela kwa shida yote iwe INA mpa mawazo,ulaji mubovu bado hao michepuko hawajampa malibwata ya kwenye papuchi kwanini asife mapema aache papuchi ya mkewe ikiliwa na wajanja
 
Sasa kwa shida ya papuchi yako ya masimango na ratiba mume anatakiwa avumilie tu au sio? Kwa maana haridhiki vile anavyotaka inabidi umpe kwa uhuru zaidi kasha complain sana. Ila at lasta anatakiwa atulie afate masharti yako tu si ndio?
 
Kweli kabisa mkuu, akina mama wana mambo ya ajabu sana. Halafu beki 3 akiwa above 18 na akawa beutiful kuliko mama, hurudishwa kwao mara moja au mama humkwaza kwa makusudi mpaka kujikuta anaondoka hata mwezi haujaisha. Ukiona hivyo ujue mama hajiamini kabisa. Afu ujue akina mama wana wivu hadi kwa watoto wao wa kike. Hawa watu ni viumbe wa ajabu sana I see! Ndio maana mtu mwenye wivu wa ajabu ajabu huambiwa 'ana wivu wa kike'.
 
Du mama kakuwahi juu kwa juu mkuu? Inauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…