Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Utawabambikia wapumbavu wachache ila sio kwa mwanaume kama mimiUtashituka saangapi sauti kubwa hata wanawake wapo wenye sauti kubwa hata mbuzi sauti anayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawabambikia wapumbavu wachache ila sio kwa mwanaume kama mimiUtashituka saangapi sauti kubwa hata wanawake wapo wenye sauti kubwa hata mbuzi sauti anayo
Nyumba ina beki 3 asilimia 90% ya kazi anazifanya yeye. Huko kuchoka kiasi hicho kunatoka wapi. Na kwa wale wa kuzingatia afya huwa tunaweka kimoja cha mkwezi siku 3 ndani ya week. Ratio ni leo hadi keshokutwa huyo mama wa hivi anachoka nini sasa kama si kujiendekeza tu.Uvivu utoke wapi, kashinda na watoto nyumba kaingalia vizuri umekula umefanyiwa vitu vinavyotakiwa kwanini usiende naye taratibu! Hivi wewe usipokuwa vizuri anaweza kukulazimisha na uka perfom vizuri geuza uwe wewe halafu yeye aende kubanjuka wewe unajisikia vipi, neno lenyewe lasema msinyimane na muwe na kiasi ili mpate muda wa kumtafuta Mungu
Aiyeeee!!Hawana masharti,wao wanaongozwa
hawaongozi,Maana unakuta mtu umemuoa
lakini unapangiwa masharti utadhani umeolewa wewe.
Jeshini,si jeshini,mgambo si mgambo.
ilimradi tu kuwepo tafrani. Mara usiniguse hapo
usinishike hivyo,nk.
Kwa beki tatu hakuna msalagambo wa namna hiyo
Wanawake badilikeni,wanaume sio watu wa maneno
ni watu wa matendo.
Tahadhari usimjaribu beki tatu utapotelea huko.
Hamna cha lawama, kwanza hivyo si ndio inavyotakiwa iwe ila utakuta mke ukimwabia kabla ukifika unakuta kashavuta mdomo. Dizaini kama anakufanyia favour ila hukustahili vile. Kingine suprise ni nzuri zaidi kwanini uombe gemu kama unaomba visa ya marekani?Hata kama ni mke unaweza ukafanya hivyo mfano kuna watoto baba ukirudi watoto wanakupokea mpaka chumbani mnaingia nao utafanya nini hapo na mkeo, laa mpigie simu mkeo nakuja nikute hapo safi mama hawezi shindwa kujipanga lakini unarudimakili zote unamuaza beki3 nyumban3 tusilaum upande mmoja hapo kuna kitu kina kosekanika mawasiliano ni mdogo sana kati ya mme na mke
Hao walaaniwe tu. Mie mke anaenipenda na kunipa penzi bila kero sikawilii kumnunulia private jet kama ya mayweather akawatambie shoga zake.Na je wale wanaume wanao cheat hovyo mpaka na mabeki 3 bila sababu wakati wake zao hawana shida yeyote wanatimiza majukumu yao kama kawaida? Ndiyo hapo linapokuja swala heshima ni kuheshimiana pande zote ili ndoa zidumu
Sasa sababu ya mume kuchepuka ni wewe kumpa papuchi kwa kipimo, ukijiskia unampa usipojiskia humjali unona potelea pote. Utaanzaje kumlaumu mme wa hivyo akitafta suluhu nje.Ufanye ya hovyo ukitegemea mke atavumilia uchafu wa mme kama hajitambui sawa lakini kama anaijua dhamani yake sizani
Aiseeee!!
Kwahio justification ya shida ni kuninyima unyumba sio na kunipa anapojiskia. Mtu haumwi wala nini ila analeta utoto kwenye swala la msingi? Hio wala usitetee mjirekebishe tu aisee.Ndiyo maana siku mnafungishwa huanza utaishi naye kwa shida na raha, hawaanzi kwa raha na shida, mawasiliano ndiyo kitu muhimu
Wewe nakupa nafasi kaa nami penzini ila the moment umeanza chepuka ntakwambia ukweli tu mbona. Na ntajua tu hadi utabaki taya waziNani kwambia kama hujui basi kaa vizuri na mkeo mmoja alisemaje ukitoka huko ukirudi nyumbani ni mapambio kwa kwenda mbele baba unarudi unajua huyu si ndiye wakusalitiwa kumbe ngoma droo
Mie sikufanyii ila timiza wajibu wako basi, mbona hapo hampaangaliii mmekomalia kisasi tu. Uvivu wako utam trigger mumeo aanze usaliti hata kama hakuwahi na hapendi!Uvumilivu na ukubwa si umri ni busara usilo penda kufanyiwa usimfanyie mwenzio
Mmh huyo sio mwanaume sasa, ni goi goi hebu tutafutane nikuelekeze cha kufanya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] si ndiyo mnakuwa wakali jamani wewe mwanamke unagubu nimechoka sasa yakitufika shingoni tuna waangalia tu
Utamuweka kitako sawa, je atabadilika kuwa vile unavyotaka???Unapoona kuna something wrong kwa mke ukiwa ni kichwa cha familia kaa chini muweke kitako mbona rahisi tu
Hamna cha taratibu hapa, kafe na madanga wako huko![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] taratibu
Ila nashauri usichepukege bhana, ni heri ukaomba divorce ili uwe na uhuru wa kuruka na madanga jinsi utakavyoSio kuzingua mi ka mwanamke nasema ukweli ambao huwa tunaongea wanawake tukiwa pekee had kupeleka wenzetu sehemu ya kuwafanya muwe wajinga
Huyo dada mpe namba zangu tufarijiane sasaKuna dada alikuwa analia mme kafika kapokewa vizuri kala kashiba sms toka kwa kahaba nipo free tunaweza onana kaondoka kaenda huko wakati hawana ugomvi na mkewe unategemea nini hapo utakuta mke mrembo anaweza bebwa na mtu yeyote anakuvumilia na ugoigoi wako naye akichepuka utasema nini alipoulizwa maneno machafu kwa mkewe bila hata kutumia busara yeyote
Jinga kabisa huyo mwanamkeHahaa!!! Utafikiri hizo mbegu alijipandikizia mwenyewe
Hadithi hizi za kijiba cha roho,acha wanaume tule papuchi na ww ukiona vipi chepuka ila ukifumwa ujue ni redcard uzuri mwanaume ndo refaNa nyie ka mliona hamuwezi acha umalaya kwanini ulioa sasa nakibamia chako kujifanya kidume cha mbengu vepee hafu hyo michepuko ndo huwatangaza yule nimemloga na kibamia chake
Thamani yenu ya kuwa mke iko palepale lakini thamani yenu kimshaba inapungua saaana sasa mwanaume gani atabakia hapo isiposimama je,kuchepuka ni starter afu sasa kuna kukinaiYani nyie mtukongoroshe kwa kuwazalia bado mtuone hatufai, miili yetu tuharibu shape zetu na nyonyo zetu kuwanyonyesha nyie na midevu yenu ka Osama kuwanyonyesha, na wanetu, tuwapikie tuwafanyie yote bado mtuone hatufai, pia sikuhizi pia wanawake nao hufanya kazi mbona tena wengine wamewazidi wanaume vipato
Mwanaume yupi anayekujali kwa dhati,hujui usemalo wwTena walivo washenzi hadi na mdada wa kazi anaanza kuwa jeuri ujue huo ni upuuzi hafu eti uvumilie, umwache baby mwingine anayekujali kwa dhati loh