Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Tunawatesa mabeki tatu sana jamani, yani unakuta mama mwenye nyumba akiona mume wake anakatetea kabeki3 basi anakua anamtesa sana ni basi huwa wanatia huruma sana, halafu bado unakuta baba anakamua mbaya tena anaomba muda wowote pia huwa anaomba kwa kumtishia ukininyima nakufukuza... Hii dhambi ya kuwanyanyasa mabeki3 Mungu anawaona