Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

mi sijuia kwanini sijawahi kuwatamani hawa wadada wa kazi sijui kwa nini yani ntakua na matatizo mimi wakuu au.. halaf ni wa hapo singidani yani watoto wazuri aisee lakin kwenye swala la hisia siinaga kabisa au mama tonny kanifanyia nini sijui
Lazima utakua mwanaume suluali wewe aiseee
 
Tatizo la mabeki tatu sio wachoyo.

Kuna mmoja nikiwa sekondary nilipiga mimi,binamu yangu, mjomba na mwisho nikastuka mzee nae kapiga.

Hawa viumbe ni hatari sana tukiwatumia vibaya kama anayo maradhi anaweza maliza familia zima

Tusishabikie ujinga.ukimwi upo pia homa ya inni
Hii familia ilikua uozo kabisa
 
Nilitembea na benki tatu baada ya kunyimwa miezi miwili ingawaje nilikuja kujilaumu maana nilianza kumwonea huruma mama watoto. Uzuri wao beki tatu hawana masharti ukiwahitaji. Lakini ubaya wao wanaanza kuwa na dharau kwa dada yake
Inakuwaje anakunyima miezi miwili?? Sababu nini?
 
Nimemla beki tatu wangu zaidi ya miaka miwili hadi tumezoeana na wife ametumia njia zote za upelelezi lakini ameshindwa ila tatizo analo moja la wivu ana wivu balaa natamani hata wife afe ili nimuoe yeye kwa sababu sifa zote anazo hasa kwenye 6x6 huwa ninakakunja kanabaki kama tyre bajaji
Duuuu!!!! Wife afe??????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwenye biblia kuna kipande kinaelezea sifa za mke na moja ya sifa ilikuwa mwanamke ni wamwisho kulala na niwakwanza kuamka kuiangalia vizuri hio sifa anayo mfanyakazi kwahio mwana ume kutembea na mfanyakazi inamaanisha alikosea kuoa ila mke sahihi ni mfanyakazi according to Bible
Mshana Jr ebu nisaidie hicho kitabu kama unakikumbuka kwenye biblia kinachoelezea sifa za mke
 
Sababu kubwa ninyi wanawake siku hizi mkishaolewa mnakuwa wachoyo mno (sijui ndo haki sawa inawaathiri? mnajua wenyewe).
Mtindo wa kuwanyima waume zenu haki yao (tendo la ndoa) bila sababu ya msingi, hapo LAZIMA house girls wawasaidie tu, hakuna namna.
Halafu wanawake mkishaolewa mnajisahau sana! Mfano unampa house girl jukumu la kufua nguo za mumeo(hadi nguo za siri), kupika (hata kama wewe upo nyumbani tu), na kwa baadhi yenu mnawaruhusu house girls kutandika kitanda chako na mumeo!

Yaani mnayataka wenyewe halafu mnakuja humu kulalamika!
Kuweni wapole, wanawake wenzenu wawasaidie.
 
Kama title inavyosema,

Wanaume wengi siku hizi mlio kwenye ndoa mnaongoza kwa kulala na wadada wenu wa kazi.

Sasa tunaomba kujua hawa wadada wa kazi wananini mpaka mnafikia hatua ya kuwakosea heshima wake zenu kwa kulala nao tena ndani?

Na mnapokutwa kwanini hamuombi msamaha yakaisha ila mnageuza kibao kwa dada wa kazi na kusema hafai mtafute mwingine?

Nimekereka kweli na jirani yangu leo, jamaa anaonekana mstaarabu baba mtaani lakini kumbe ovyo.

Leo kafumaniwa na mkewe anatembea na dada wa kazi, kazini katoka mapema kwa kisingizio kuwa anaumwa wakati mkewe hajamwambia kama anajisikia vibaya na anarudi nyumbani.
Hausi gero,ananipikia chakula,ananifulia nguo zangu,anapiga pasi nguo zangu,anawapa chakula watoto wangu,wewe uko busy na simu au tv,ukisaidiwa na kitandani unakuja hapa kulalamika?
 
kwenye biblia kuna kipande kinaelezea sifa za mke na moja ya sifa ilikuwa mwanamke ni wamwisho kulala na niwakwanza kuamka kuiangalia vizuri hio sifa anayo mfanyakazi kwahio mwana ume kutembea na mfanyakazi inamaanisha alikosea kuoa ila mke sahihi ni mfanyakazi according to Bible
Mshana Jr ebu nisaidie hicho kitabu kama unakikumbuka kwenye biblia kinachoelezea sifa za mke
Upo sawa hapo,tatizo wanawake wa siku hizi wavivu sana
 
Hivi ni kwa nini wadada wa kazi ni watamu sana??![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Mie naonaga ni heri nkatafute kulumbembe huko nje ila kutembea na beki 3 humo humo ndani ya nyumba huwa naona sio fair kwakwl kwa mama watt
Wewe naona mke wako yuko vizuri, yaani hakunyimi.
Lkn hawa wengine inafaa wasaidiwe na beki 3 maana hawajui kuwalinda waume zao.
 
Kinachoshangaza me wanalalamika kuwa wake zao wanawanyima, wakati huo huo wanawake wanalalamika
waume zao ni goi goi sasa tumwamini nani? Utakuta mpaka mtu anachukua maamuzi magumu mme hajulikani
mwili wake unapata joto au ndiyo joto linaishia kwa beki 3?
 
Back
Top Bottom