Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Mwenzenu weekend hii toka juzi jion ninelazimika kumsafirisha beki3 wangu toka kijijini kwao, about 260 km na mm kusafiri about 200km kwenda kula naye bata mji mwingine ambapo tungekuwa huru nimeinjoi sana na jion ya leo ndo nimerudi kwangu, nimeenjoy balaa the way alivyokuwa ananifanyia viituko kwenye basi, mara anilalie, mara anirembulie macho yake makubwa, yaan njia nzima alikuwa ananipa raha.