Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Wana kitumbua kama walivo navyo wengine tastySasa tunaomba kujua hawa wadada wa kazi wananini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana kitumbua kama walivo navyo wengine tastySasa tunaomba kujua hawa wadada wa kazi wananini
Akija mwambie namsalimia
Haa haa haa aiseee huyoKama zombie vile mnapangana pangana huko alikuwa anawacheka tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anapiga picha jinsi mtoto alivyo binamu, mjomba mpaka mkuu wakaya eti kichwa cha familia anatadhinimi nani mkali[emoji23] [emoji23] [emoji23] kizazi za laanaHaa haa haa aiseee huyo
Bek 3 nae alikua anawachora tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anapiga picha jinsi mtoto alivyo binamu, mjomba mpaka mkuu wakaya eti kichwa cha familia anatadhinimi nani mkali[emoji23] [emoji23] [emoji23] kizazi za laana
Wasipo jiangali itakuja jirudia tena katika hao hao, baba unavijana nyumban unakula beki 3 kweli? Huyo sizani kama mashemeji anaweza vumilia tu kwa kuwaona mmmm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Laaana kubwa sana hyo
Ndo sasa mbadilike,mtu anakuoa siyo uje kupangaWanajiaminisha balaa wakati wakiwa makazini majirani humo, wauza sijui nini humo kama kuna mkata nyasi hapo naye anaponea humo duu
Baba nae ana roho ati!! Yule beki tatu alikua anavo viwango vyote.Kasoro miguu tu ndo membamba.si unajua wanyiramba walivo warembo???.Wasipo jiangali itakuja jirudia tena katika hao hao, baba unavijana nyumban unakula beki 3 kweli? Huyo sizani kama mashemeji anaweza vumilia tu kwa kuwaona mmmm
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] we ni hatariYaani mwanamke anipangie sehemu ya kumshika,labda sio Mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani sio woote wanao lala na back3 hawatimiziwi na wake zao bali nitabia kama tabia, unaweza mkuwa mke hana shida yeyote kila unapomuhitaji yupo tayari lakini kama kazoea kula hovyo hata kama kashiba atakula tu walau aonje wengine mpaka mashemeji, mbona wenyewe mkiwa hampo kwenye mood sio mke anavumilia?Ndo sasa mbadilike,mtu anakuoa siyo uje kupanga
mashariti,unaolewa kuja kuziba mapungufu ya mmeo
sasa kama huwezi ndo msaidi anasaidia vyote.
Sasa hamuoni kama mlifanya kitu kibaya laa anamaradhi yakuambukiza si ukoo mzima mnaondoka sio kabisa na kwanini alivyokuwa anatambulishwa mngemchulia hivyo hivyo au mnapenda madada wakunyanyaswa na maboss zaoBaba nae ana roho ati!! Yule beki tatu alikua anavo viwango vyote.Kasoro miguu tu ndo membamba.si unajua wanyiramba walivo warembo???.
Tulikua tunaishi nae kama dada yetu sio beki tatu.
So alikula akanenepa, akaoga akang'aa,Bi mkubwa mlokole tena.akampenda kama mwanae.wakienda sokoni wapi wapi anamnunulia nguo, anampeleka saloon pia kwa walokole wenzie anamtambulisha kama mtoto wa dadake.alikua na adabu sana na alimpenda sana.Mwishoe aliondoka na mimba....[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Angepata mimba ndiyo kila kitu kingekuwa nje eheee mimba yanani nimelala na baba, kaka, binamu, namjomba hivyo sijui ya nani hivyo mtoto ni wahumu humu ndaniMkuu usisahau ndio viumbe wanaoshikaga mimba kwa kasi ya 4G+