Tofauti ya Mme akitembea na HG ni kuwa nobody will ever know mpk labda afumaniwe na hata akifumaniwa ni mkewe ndio atakayejua.
Mke alitoka nje...huyo anayetoka lazima awambie wana kuwa kuna malaya mmoja nagonga( hakuiti hata mwanamke ) anakuita mayala na wana mara zote tunaomba ushahidi na ndio video zinapokujaga na picha pia. Wanaume wama ego ya kujionyesha uanaume wao hasa akitembea na mwanamke wa mwanaume mwingine. So mwanamke utakuwa ukitembea road unanyooshewa vidole kuwa yule mayala anayegonga na mwana si yule pale tena kaolewa yule.
Sent from my SM-J320H using
JamiiForums mobile app