Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

Kunguru huwa hafugiki sasa Mimi kuhangaika na acye jielewa cna huo mda mchafu aende tu kwa mchepuko
Sasa mtu ambaye anataka muyajenge sio kuchepuka tu. Ila muwekane sawa ila we huoni umuhimu wa hilo unafikiri kitatokea nini?
 
🙁 saa zingine there is more to a story than what meets the eye! ukuta za nyumba zingeweza kuongea, matatizo mengi ya mahusiano yangejulikana na yale yanayoweza kutengemaa, well, mambo yangekuwa fureshi sana!

ila on a serious note:

1. labda jamaa ana mahitaji makubwa (nauhakika mamaa alikuwa anajua hilo kabla ya kuingia kwenye uwanja)
2. ama mamaa anabania (kitu kinachonichekesha sana ni kuwa mwanamke anaamini kumbania mwanamme ni suluhisho)
3. ama mtu anatafuta exit strategy (frustration zimezidi)
4. ukweli wanajua wao wenyewe!

jamii imekuwa kimya sana kuhusu haya mambo sijui ni kutokana na ujuaji wa vijana wa siku hizi ama wazazi kutokuwa na sauti kwa vijana. ama saa zingine dogo kambamba mzazi ana mambo yake sasa hamna mtu wa kumsemesha. wazazi, ndugu, marafiki na pia wasimamizi wa ndoa wengi wamekuwa bubu kwani kiukweli wengi tunachepuka na kurudi majumbani kama vile mambo ndani ya nyumba ni freshi. sifa tele hapa na pale mpaka pale mtu akiteleza (ndio kama hii kesi) dunia inaenda upside down for the culprit. siku za mwizi ni siku 40, watu wajue hizo siku 40 inaweza kuwa mwezi, miezi, mwaka, miaka n.k

mahusiano yana mambo mengi... kila mtu apambane na hali yake. afterall ukikaa ukiwaza, ni mwanamme na mwanamke wenye uwezo wa kuweka ya kwao sawa. kama mmoja anataka na mwingine hataki, hamna mwingine anaweza saidia meli isizame.

Dopamine ni kitu hatari sana katika mwili wa binadamu!
 
Hapa naona lawama nyingi zinaelekezwa kwa wanawake! Hata hivyo hilo sio jawabu zuri na la moja kwa moja kuhusu hoja ya uchepukaji wa wanandoa wa jinsia ya kiume....Mwanaume ni kiumbe aliyetayari kufanya mapenzi muda wowote na sehemu yoyote tofauti na mwanamke, na ili kukamilisha hili suala house girls wanakuwa wahanga kwa sababu wao ndio wanakuwa karibu zaidi na wababa wenye nyumba kuliko wanajamii wengine wa jinsia ya kike na ndio maana wao ndio wanajadiliwa sana! Hakuna uhusiano mkubwa kati ya uvivu wa mwanamke na suala la mwanaume kutoka na house girl... Ni nature ya wanaume kimaumbile kutaka kuonja kila ladha mpya kila siku ndio inapelekea yote hayo kama ilivyo nature ya wanawake kutokupendana wenyewe kwa wenyewe.
Wewe at least umesema ukweli watu waendekeza tabia mbaya wanasingizia uvivu wao wenzao wakitafta mihogo tofauti tofauti wanakuwa wakali ka mbogo
 
Tofauti ya Mme akitembea na HG ni kuwa nobody will ever know mpk labda afumaniwe na hata akifumaniwa ni mkewe ndio atakayejua.
Mke alitoka nje...huyo anayetoka lazima awambie wana kuwa kuna malaya mmoja nagonga( hakuiti hata mwanamke ) anakuita mayala na wana mara zote tunaomba ushahidi na ndio video zinapokujaga na picha pia. Wanaume wama ego ya kujionyesha uanaume wao hasa akitembea na mwanamke wa mwanaume mwingine. So mwanamke utakuwa ukitembea road unanyooshewa vidole kuwa yule mayala anayegonga na mwana si yule pale tena kaolewa yule.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
A wapi si kweli watu tu wazoefu na hzo mambo and nobody knows we jidaganye
 
Mkuu wamama wengine ni vichwa ngumu sana. Bila kumgegedea beki 3 humo humo ndani hawezi kushika adabu yake.
Tena Mimi baba mtoto akifanya nampandisha beki Tatu hadhi ya mke wenza mana mume hanisumbui papuchi yangu namuwekea danga lingine lifaidi
 
Hio theory naijua mbona tena kama kuna kiumbe rahisi kujua endapo kinachepuka basi ni mwanamke. Hanaga siri unajua tu maana mahaba yote huisha. Inabaki mazoea tu
Yani huwezi nilazimisha nikupe papuchi yangu unabaki kupambana na huba lako huku wanipa matumizi nakule kwa madanga mengine nachuma kwanini nisijenge ghorofa langu aisee
 
Kama hataki kuandaliwa unadhani kinachofuata ni nini, labda ahame kitanda. Au nikitaka kuingiza nisikute pochi, lkn kama ipo lazima ataachia tu.
Sasa hapo siuna mubaka mwenzako [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Na ndiyo maana akili zao hazipo sawa, michepuko inawalisha vichafu balaa wangejua hata wangetulia na wake zao, kuna mbaba alikuwa kwa mchepuko na alilala huko katoka kule kaenda kazini , anarudi kwake kafa hata haijulikani sababu ya kifo kalishwa huko au mke kamaliza mchezo basi kashatanguliza
Hafu wakifaga mapema sijui kwanini wake zao hunawiri na kuwa na shavu dodo na huyo baba nadhani madawa ya uganga yalimuua, matokeo yake wanawe wamekuwa yatima au wakose ada bure
 
Sasa hio si mpaka mtu uwe na moyo wa kuvumilia huo upuuzi. Mi kama we ndio chanzo cha mie kuchepuka na nilishakukanya ila ukajitia nunda nakupa na karatasi kabisa ili ukaishi vyema na huyo danga wako.
Siwezi kulea mke wa hovyo mimi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] huo mda utajua SAA ngapi mana uko na mchepuko na mkeo ukijua anachepuka huwezi mfanya CHOCHOTE mana wewe si.msafi
 
Umeanzia kati.
Kwanza ujue sababu zilizotolewa mpaka beki tatu zimekua dili baada ya wenye nyumba kushindwa majukum yao yani mume anakujali unampuuza mwisho anahamia kwa beki tatu.sasa kama utakurupuka kwenda kutafuta na umemshindwa mumeo ndo nnapo washangaa akati unaweza omba kuachwa ukaenda utakako
Yani niombe wakati ukute una mtu wako anakupenda nakukujali hafu ukute uliingia ndoani basi tu kwanini usifanye au boss wako wasafiri naye umnyime ili iweje. Hafu MTU una uwezo wako kwanini kuhangaika na mume anaye date beki Tatu mi tena ningefurahi kuona mume afanya HVO maana na Mimi nachepuka
 
Wote fanyianeni favor uone ka ndoa haijawa nzuri ila kubaki kulaumiana, sio solution
Sidhani kama kuna mtu anaongoza kwa kumfanyia favours mwenzake katika mahusiano kama mwanaume.

Ratio inaweza kuwa 70:30 katika yale mwanaume anayofanya ili mwanamke wake afurahi. Miaka 30+ ya kuhakikisha unaenda chooni kula na kuvaa huku akihakikisha umezaa na kulea watoto wako bila shida, kulipa bills, unapahali pazuri pa kuishi pengine gari ya kutembelea. Bado kero ndogo ndogo anakuvumilia.

Ila pamoja na yote mwanaume anapata rewards katika hio 30 tu ya mwanamke na 20 nzima yaweza kuwa ni mapenzi na sex tu na ila still yaweza kuwa ngumu kwa mwanamke kutoa kwa ukamilifu. Hapo ndio migogoro inapoanzia sasa.

Tafakari tu hilo then utapata jibu!
 
Una sound too negative..hivi wakati wa uchumba hichi kibamia kama uliona hakikufai,ilikuaje ukaolewa na huyo mtu?..
Na nyie ka mliona hamuwezi acha umalaya kwanini ulioa sasa nakibamia chako kujifanya kidume cha mbengu vepee hafu hyo michepuko ndo huwatangaza yule nimemloga na kibamia chake
 
Huyo wa hvo labda anamtegemea huyo mwanaume had chupi aisee
Kwahivyo we unadhani kwa vile unaweza kukamilisha sehemu ya mahitaji yako upo sawa kufanya unavyotaka hata kama ni kinyume na utaratibu?
 
Sidhani kama kuna mtu anaongoza kwa kumfanyia favours mwenzake katika mahusiano kama mwanaume.

Ratio inaweza kuwa 70:30 katika yale mwanaume anayofanya ili mwanamke wake afurahi. Miaka 30+ ya kuhakikisha unaenda chooni kula na kuvaa huku akihakikisha umezaa na kulea watoto wako bila shida, kulipa bills, unapahali pazuri pa kuishi pengine gari ya kutembelea. Bado kero ndogo ndogo anakuvumilia.

Ila pamoja na yote mwanaume anapata rewards katika hio 30 tu ya mwanamke na 20 nzima yaweza kuwa ni mapenzi na sex tu na ila still yaweza kuwa ngumu kwa mwanamke kutoa kwa ukamilifu. Hapo ndio migogoro inapoanzia sasa.

Tafakari tu hilo then utapata jibu!
Yani nyie mtukongoroshe kwa kuwazalia bado mtuone hatufai, miili yetu tuharibu shape zetu na nyonyo zetu kuwanyonyesha nyie na midevu yenu ka Osama kuwanyonyesha, na wanetu, tuwapikie tuwafanyie yote bado mtuone hatufai, pia sikuhizi pia wanawake nao hufanya kazi mbona tena wengine wamewazidi wanaume vipato
 
Kwahivyo we unadhani kwa vile unaweza kukamilisha sehemu ya mahitaji yako upo sawa kufanya unavyotaka hata kama ni kinyume na utaratibu?
Ukiona nafanya kinyume ujue wewe ndo umenichokoza ukiniheshimu nakuheshimu ukijifanya kiboro dinda weeee nakunyoosha
 
This is the most appropriate thing they should do ila wanakimbilia ku cheat ili wawe wanainjoy benefits za kuendelea kuitwa mke na kutumia rasilimali zetu waume.

Inasikitisha sana
Dawa ni kuwapiga red card uone kama wataolewa na hao wanaume wanaochepuka nao, ukute na umri umeshaenda na papuchi imeshalegea, maziwa yanapiga mbonji tayari, mpaka ayalazimishe kusimama kwa kuyavisha sindiria, nk.

Lkn mwanamume ana uhakika wa kupata chombo kipya kikali, kibichi, titi zinasoma saa 6:00 mchana, na pochi yake inatight vizuri.

Yaani kifupi mwanamke huwezi kushindana na mwanamume, katika uwanja huu. Nature inampendelea mwanamume. Njia sahihi ni kuwa wapole tu.
 
Back
Top Bottom