Kukupenda nimekupenda, nikakuoa na kukutolea mahari, nikakujengea heshima kwenye ukoo wanu na kwenye jamii, nyumba nimejenga, pesa ya matumizi nakupatia kila siku, kila wiki unabadilisha aina ya msuko, nguo kila sikukuu nakununulia, wazazi na ndugu zako nawasaidia kifedha, hadi wengine nawalipia ada, mshahara wangu nimekuweka wazi hadi mamba ya siri ya ATM unaijua na huwa unakwenda kutoa pesa sometimes, simu yangu sijakuwekea password na ninakuruhusu kupokea simu yoyote kama niko mbali mf. bafuni, SMS ikiingia nakuambia isome ni nani katuma na anasemaje, nk....Ndiyo mke anaweza fanya yote mema lakini dhamani yake isionekane mwishowe moyo nao huchoka
Hivi unahitaji nikuthamini kiaje labda.?
Lkn wewe ikifika kwenye tendo la ndoa unaniletea mgomo, hamjui tu mnaudhi sana!