Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Sasa baba mwenye nyumba wanae 4 wote kwa beki 3 mpaka na kaka wa mama mwenye nyumba huyo huyo ana vivulana vyake vya nje huko hii nyumba inaitwaje?ni kweli ndiyo maana some time unaweza ukaona ukimwiumekula nyumba nzima unajiuliza kwa ninkumbe house girl na house boy wameshafanya yao.