Badala ya kuwasifia wao wananuna😂😂😂Mimi niliwashauri ..
Wanaume walooa wawasifie wake zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naunga mkonoKama ni wa kuliwa ataliwa tu hata unhemchekea muda wote
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Anahisi sasa hivi kayapatia ajui Yule anayempenda ana nyanduliwa na kumwambia mshikaji madhaifu yakeNi mzunguko tu bro leo unawachapia kesho utachapiwa kawaida tuuu
ukioa utajua kwanini inakua hivoHabari zenu watanganyika wenzangu?
Nishatafuna wake za watu kama watano hivi,sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi,so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono.
Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.
[emoji23][emoji23][emoji23]halafu wakisaidiwa wanalalamaBadala ya kuwasifia wao wananuna[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku utajutia na utakua ushachelewa, jifunze kucheza karata yako kwa HekimaHabari zenu watanganyika wenzangu
Nishatafuna wake za watu kama watano hivi, sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi, so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono.
Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.