Wanaume mliooa acheni tabia ya kununia wake zenu otherwise tutawachapia sana

Wanaume mliooa acheni tabia ya kununia wake zenu otherwise tutawachapia sana

Habari zenu watanganyika wenzangu

Nishatafuna wake za watu kama watano hivi, sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi, so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono.

Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.
Wengine hatutumiii mafuta ni mate tu, tembea na mafuta yako.
 
Kujiheshimu mwenye alafu ukaheshimu vitu vya Watu..Ni Jambo la muhimi Sana.

Ila wewe umeshindwa kujiheshimu na Sasa unavunja heshima za Watu..Jiangalie kijana
 
Habari zenu watanganyika wenzangu

Nishatafuna wake za watu kama watano hivi, sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi, so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono.

Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.

Wakuliwa wakuliwa tu, haya mambo ya kufanya kama Hawa wanawake ndo kila kitu hayana maana, maisha yasonge; wacha waliwe!
 
Wabongo au wafrika kwa ujumla tuna tabia za ovyo sana unakuta mtu kabembeleza mtoto wa watu mpaka kamuweka ndani leo dume zima unaanza kujinunisha yani ni Ujinga haswa na hii ipo sana au unakuta mtu anamkemea mke wake mbele za watu
 
Ila hii ni kweli, kuna mke wa mtu huwa namsifiaga akiweka status,, kuna siku nkamwambia una lips nzuri akanambia sio kweli mbona mume wangu hajawah kuniambia hivyo!! Baada ya hapo akaanza kumkandia mume wake kwangu😂😂😂 Sema ndo vile me sinaga mzuka na wake za watu ila ningekuwa na nia ya kumnyoosha ningeshafanya hivyo mda sana!!
 
Yani wanawake wa siku hizi wanamasharti mengi kuliko mkataba wa kumiliki Silaha
 
Habari zenu watanganyika wenzangu

Nishatafuna wake za watu kama watano hivi, sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi, so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono.

Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.
Kwa ushauri tuu mkuu, utembee na zana siku ikikujeukia.
 
Habari zenu watanganyika wenzangu

Nishatafuna wake za watu kama watano hivi, sababu kubwa hao wanawake walikuwa wananiambia kuwa waume zao walikuwa wamewanunia pasipokuwa na sababu za msingi, so nami nikaichukulia kama advantage ya kujilia vinono.

Wanaume mliooa acheni hii tabia asee.
Hao wanakujaza tu ili wakupige pesa! Kama ni kweli thibitisha Kama wamenuniwa na Waume zao!? Hao ni wauza Mbunye tu,na Wana style nyingi za kutujaza Wanaume Wajinga! Kuna mmoja aliniambia eti Mume wake hamkojozi, nikamwambia nendeni mkayaonge na utaanza kukojowa!!
 
Haya mkuu endelea kuwala kwa nafasi, ukiliwa na wewe leta uzi mwingine
 
Sharti ya kula lazima ukubali kuliwa nawe utagongewa tena mara idadi ya uliowatafuna..... fact!
 
Back
Top Bottom