Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sikutishi mkuu ndio uhalisia wa mambo ya sasa wanawake wengi ni washirikina kama hatokupoteza wewe atapoteza huyo unaemwita mtoto mbichiAcha kututshia maisha bx aiseee kufa kupo wote tulipotezeana mda kwaiyo kama nmemuelewa mtt mzr mbchi n muache et kisa ninayo ajuza tayar wote tuna years 27s abv, hapna lazm kla mtu anayo maamuz yake
Kabisa mimi mwenyewe ni ushuhuda toshaYani umeongea ukweli mtupu hata hujapepesa macho.
Kwasababu baba yao Ibilisi ni baba wa uongoSijui kwanini watu ni Waongo? 😢
Kwa sisi tuliosoma st. kayumba tunasema kwa kiingereza chetu cha kuunga unga kwamba if you are left, leave. yani, ukiachwa achika.Inaumiza sana sana sana
Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia)
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mitandaoni haswa page za kusherehesha utagundua hili jambo, hiki kitu kimekuwa kikipamba moto mno, wanaume kwa wanawake wanafariki muda mchache baada au kabla ya ndoa…
Ukipitia comments nyingi utakuta ni wanawake ndio wamecomment na nyingi zikiwa kama zinafikisha ujumbe kwa wanaume..
Wanaume acheni kuwaumiza mioyo wanawake ambao hamna malengo ya kuwaoa
Hiko hivi wanawake hatufanani kuna kina sisi ambao ukusema mahusiano yamekwisha unihitaji basi nitakubaliana na hali na kusahau na kusonga mbele kama injili, sasa omba mahusiano yako ukutane na kina sisi
Usije ukakutana na kina wale ambao hawajuagi kusamehe wala kusahau utajutaa kwanini ulizaliwa mwanaume,,, hao wanawake ndio hao sasa wabeba visasi ambao wako tayari kwenda kokote kufanya jambo lolote ili mradi akukomoe
Ndio hapo sasa unaposikia bwana/ bibi harusi kafariki miezi 2 baada ya ndoa ama siku 2 kabla ya harusi.. unasababisha watu wasiokuwa na hatia kudhulumiwa uhai wao
Imefikia hatua mpk unaogopa mwanaume atakaenioa ex wake alisamehe na kusahau au na mimi nitajumuishwa kwenye kisasi
Usiseme nimeachana nae kwa amani, wengine huonyesha hivyo mbele yako ukimpa kisogo ndio anaenda kukusemelea kwa babu yake
Nimeleta hili kwasababu kuna mwanaume mwenzenu huko kashasababisha vifo kwa mke na mtoto wake kisa ex wake
Wanaume mnatuhusisha kwenye matatizo ambayo hatuhusiki.. mimi siwezi kujua kila kitu kuhusu mwanaume anaetaka kunioa ukizingatia tumekutana ukubwani.. matokeo yake wanawake ndio tunateswa na ma ex zenu kwasababu zenu ambazo sisi hazituhusu
Imagine unaolewa na mwanaume kumbe alishaishi kinyumba na mwanamke mwinginee kwa ZAIDI Ya Miaka 10 na watoto wa 3,, hivi unafikiri mwanamke kama huyo, akisema analipa kisasi inakuaje??
Kama huna nia ya kuoa acha kumpotezea binti wa watu muda wake.. wanawake huwa tunatunza visasi moyoni anaweza kusema amekusamehe kumbe anakutafutia timing akumalize
Nawasilisha kama hivyo
mwanaume hata anifanyie nini sihangaiki nayeye,zaidi ya kuumia na kutembea nikilia kama ambulance,baada ya hapo nazoea na kusahau,,sina kisasi na toto la mtu,si kwamba hayajanikuta yamenikuta makubwa tu 🙌🏾,, kisasi ni cha Mungu.Omba yasikukute
Huo msemo unafanya kazi kwa kina sisi ambao kila siku tunapenda upya ila ukikutana na kina Zuchu utaimba HallelujahKwa sisi tuliosoma st. kayumba tunasema kwa kiingereza chetu cha kuunga unga kwamba if you are left, leave. yani, ukiachwa achika.
Tumeanza hadi kurogana kwa kuana jamani, hatari sana.
Sasa umetupa siri, ukiachana na ex wahi ukamroge kwanza weweHuo msemo unafanya kazi kwa kina sisi ambao kila siku tunapenda upya ila ukikutana na kina Zuchu utaimba Hallelujah
Wewe na mimi sio kama kina Zuchu amini kwamba Zuchu lazima arogeemwanaume hata anifanyie nini sihangaiki nayeye,zaidi ya kuumia na kutembea nikilia kama ambulance,baada ya hapo nazoea na kusahau,,sina kisasi na toto la mtu,si kwamba hayajanikuta yamenikuta makubwa tu 🙌🏾,, kisasi ni cha Mungu.
Utakumbuka hata kipindi hicho penzi limetanaradiSasa umetupa siri, ukiachana na ex wahi ukamroge kwanza wewe
Umelewa Asubuh yote Hii mkuu😊Kabinti kadogo Ila mambo makubwa makubwa karibu pm Nina dushe kubwa
Hahahaha ni kujitesa tu,, unapata raha gani kuona mwenzio akiteseka kisa wewe.Wewe na mimi sio kama kina Zuchu amini kwamba Zuchu lazima arogee
Hakunaga kuachana kwa amani trust me… kuachana na mtu umetangaza nae vita… ila sasa upiganaji wake wa hiyo vita ndio kunatofautiana silaa, wenginee wanatumia risasi wengine makombora ya nyukliyaHizi michezo ya visasi ipo sanaa, kuna rafiki wa jamaa yangu aliachana na binti tena kwa amani miaka ya 2010.
Jamaa akaja kupata mchumba mwingine 2013 akiwa kwenye shirika moja kubwa nchini linamlipa pesa nzuri.
Mwaka huo huo, Jamaa akaenda kikazi mkoa flani, by coincidence akakutana na yule X wake maeneo ya Mnadani wakabadilishana namba za simu.
Usiku jamaa akaona asilale kinyonge, akamchek X aje kumpa Kampani. Ebwana eeeh! That was a fatal mistake.
Hii story ni ndefu kidogo ntakuja kuiandikia uzi separate nikitulia.
Mwenzio hiyo kuteseka ndio furaha yakeHahahaha ni kujitesa tu,, unapata raha gani kuona mwenzio akiteseka kisa wewe.
Ukimya ni kisasi tosha.Mwenzio hiyo kuteseka ndio furaha yake
Yaani wanawake wanarogo ili waenjoy dudu🤣🤣🤣Ngoja niwape story! Umekimbusha kitu
I have a good friend of mine! Ni Rafiki yangu haswa.
Ananiamini mno! Nimekuwa mshauri wake wa mambo mengi yangu tukiwa A Level na uzuri tupata nafasi ya kusoma chuo kimoja degree yangu ya kwanza.
Jamaa angu akipata mchumba ila ukweni wakazingua ila jamaa alimpenda sana yule Binti, baadae wakatengana
Kwenye mishemishe za maisha jamaa akapata manzi wa kutuliza hisia tu, gafla akampa mimba.
Hapo hapo kule ukweni wakamwita na kumwambia nyie owaneni tu.
Huyu manzi mwenye mimba baada ya kujua Hilo! Maana nilimwambia nenda na mweleze ukweli, kwa sababu hamkua na mahusiano yenye Malengo yoyote!
Manzi akakubali jamaa aoe ila mimba akasema hatoi! Tukamwambia tutalea mtoto.
Kumbe yule Binti kaondoka na kisasi! Ndoa imeisha baada ya mwezi shemu akapata na yeye mimba! Huwezi amini iliharibika na akaanza kuumwa sana.
Katika kuchunguza tukajua yule dada kashapoteza wadada wawili kwa uchawi!
Nikwambie Abeee ! Hii ishu niache Mimi ni deal nayo shemu atakaa sawa ... Baada ya Kufanya ninayoyajua ndo shemeji yangu kapona.
Hii michezo ipo
Nimeipenda hii my dearInaumiza sana sana sana
Sasa hivi kumekuwa na matukio yakishamiri ya wanandoa kufariki baada ya ndoa ama siku chache kabla ya ndoa( mimi pia ni muhanga wa kukutwa na hilo tukio japo ilikuwa ni kabla ya ndoa nikapoteza mchumba kwa ajari.. hili sitaki kulizungumzia)
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mitandaoni haswa page za kusherehesha utagundua hili jambo, hiki kitu kimekuwa kikipamba moto mno, wanaume kwa wanawake wanafariki muda mchache baada au kabla ya ndoa…
Ukipitia comments nyingi utakuta ni wanawake ndio wamecomment na nyingi zikiwa kama zinafikisha ujumbe kwa wanaume..
Wanaume acheni kuwaumiza mioyo wanawake ambao hamna malengo ya kuwaoa
Hiko hivi wanawake hatufanani kuna kina sisi ambao ukusema mahusiano yamekwisha unihitaji basi nitakubaliana na hali na kusahau na kusonga mbele kama injili, sasa omba mahusiano yako ukutane na kina sisi
Usije ukakutana na kina wale ambao hawajuagi kusamehe wala kusahau utajutaa kwanini ulizaliwa mwanaume,,, hao wanawake ndio hao sasa wabeba visasi ambao wako tayari kwenda kokote kufanya jambo lolote ili mradi akukomoe
Ndio hapo sasa unaposikia bwana/ bibi harusi kafariki miezi 2 baada ya ndoa ama siku 2 kabla ya harusi.. unasababisha watu wasiokuwa na hatia kudhulumiwa uhai wao
Imefikia hatua mpk unaogopa mwanaume atakaenioa ex wake alisamehe na kusahau au na mimi nitajumuishwa kwenye kisasi
Usiseme nimeachana nae kwa amani, wengine huonyesha hivyo mbele yako ukimpa kisogo ndio anaenda kukusemelea kwa babu yake
Nimeleta hili kwasababu kuna mwanaume mwenzenu huko kashasababisha vifo kwa mke na mtoto wake kisa ex wake
Wanaume mnatuhusisha kwenye matatizo ambayo hatuhusiki.. mimi siwezi kujua kila kitu kuhusu mwanaume anaetaka kunioa ukizingatia tumekutana ukubwani.. matokeo yake wanawake ndio tunateswa na ma ex zenu kwasababu zenu ambazo sisi hazituhusu
Imagine unaolewa na mwanaume kumbe alishaishi kinyumba na mwanamke mwinginee kwa ZAIDI Ya Miaka 10 na watoto wa 3,, hivi unafikiri mwanamke kama huyo, akisema analipa kisasi inakuaje??
Kama huna nia ya kuoa acha kumpotezea binti wa watu muda wake.. wanawake huwa tunatunza visasi moyoni anaweza kusema amekusamehe kumbe anakutafutia timing akumalize
Nawasilisha kama hivyo
Hiyo ina play kwako tu bintiUkimya ni kisasi tosha.