Wanaume mmekuwa chanzo cha Wanawake kupitia mateso kwa makosa yenu mliyoyafanya kwa Ex zenu

Acha kututshia maisha bx aiseee kufa kupo wote tulipotezeana mda kwaiyo kama nmemuelewa mtt mzr mbchi n muache et kisa ninayo ajuza tayar wote tuna years 27s abv, hapna lazm kla mtu anayo maamuz yake
Mimi sikutishi mkuu ndio uhalisia wa mambo ya sasa wanawake wengi ni washirikina kama hatokupoteza wewe atapoteza huyo unaemwita mtoto mbichi
 
Hizi michezo ya visasi ipo sanaa, kuna rafiki wa jamaa yangu aliachana na binti tena kwa amani miaka ya 2010.
Jamaa akaja kupata mchumba mwingine 2013 akiwa kwenye shirika moja kubwa nchini linamlipa pesa nzuri.

Mwaka huo huo, Jamaa akaenda kikazi mkoa flani, by coincidence akakutana na yule X wake maeneo ya Mnadani wakabadilishana namba za simu.

Usiku jamaa akaona asilale kinyonge, akamchek X aje kumpa Kampani. Ebwana eeeh! That was a fatal mistake.

Hii story ni ndefu kidogo ntakuja kuiandikia uzi separate nikitulia.
 
😊Kabinti kadogo Ila mambo makubwa makubwa karibu pm Nina dushe kubwa
 
Kwa sisi tuliosoma st. kayumba tunasema kwa kiingereza chetu cha kuunga unga kwamba if you are left, leave. yani, ukiachwa achika.
Tumeanza hadi kurogana kwa kuana jamani, hatari sana.
 
Kwa sisi tuliosoma st. kayumba tunasema kwa kiingereza chetu cha kuunga unga kwamba if you are left, leave. yani, ukiachwa achika.
Tumeanza hadi kurogana kwa kuana jamani, hatari sana.
Huo msemo unafanya kazi kwa kina sisi ambao kila siku tunapenda upya ila ukikutana na kina Zuchu utaimba Hallelujah
 
mwanaume hata anifanyie nini sihangaiki nayeye,zaidi ya kuumia na kutembea nikilia kama ambulance,baada ya hapo nazoea na kusahau,,sina kisasi na toto la mtu,si kwamba hayajanikuta yamenikuta makubwa tu 🙌🏾,, kisasi ni cha Mungu.
Wewe na mimi sio kama kina Zuchu amini kwamba Zuchu lazima arogee
 
Hakunaga kuachana kwa amani trust me… kuachana na mtu umetangaza nae vita… ila sasa upiganaji wake wa hiyo vita ndio kunatofautiana silaa, wenginee wanatumia risasi wengine makombora ya nyukliya
 
Yaani wanawake wanarogo ili waenjoy dudu🤣🤣🤣
Sass sikie wanavyotukandia hapa oh kibamia mara nyie mbwa.
Kumbe wanaroga wapate dyudyu zetu
 
Nimeipenda hii my dear

Hii imemtoa miongoni mwa wababa zangu wadogo kwa bibi yangu mdogo, jamaa kaishi na demu wake wanapika na kupakua,baadae akampiga chini, kibaya zaidi akaoa kisha akaenda kukaa na mkewe katika chumba kile kile alichopanga

Mbona mwamba alipigwa ukichaa wa muda,ila bahati nzuri alikusudiwa yeye mwenyewe na si mkewe,sijajua anaendeleaje now

Kama hutarajii kumuoa huyo bidada basi usimpe ahadi ambayo unajua hauta itimiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…