Sasa mbona ulichoandika hakieleweki?Hahahahahahaa. Jana nimekunywa Moet na Heineken mdogo wangu. Mjini vinywaji hivyo vinauzwa wapi?
Hahaha, nilijua ulikua unazungushaNinunue mimi nianze tuu.
Lord have Mercy...Acha tu. Nimeondoka saa 8.
Inabidi tubadili dini kwanza tuhamie upande wa pili, ngoja nianze mazoezi ya kuvaa visuruali vifupi/suna.Si mkeo sasa unatakiwa unitunze. Mama T si keshanipitisha niwe mwenzie
Hahaha, we unaenda nao sawa hivyo hivyo ,safi sana ,Mjini MipangoKuna watu vimekaza kwenye kuhonga ila kwenye bata zipo bado
Kumbe tatizo ni kutokua na hela ya kulipa bili tu? yaani akitokea mwenye huo uwezo wa kulipa bili au kua na hela anajichukulia mzigo kiulaini tu Eeeh!?Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
Hapana. Yeye hanijui ndo maana akaniona kama akinientertain atanibeba. Niliwe kisa bill? Ila kidogo mwanaume anaelipa bill unakua na uhakika hata anaweza kukusaidia siku ukikwama mkianza kuhusianaKumbe tatizo ni kutokua na hela ya kulipa bili tu? yaani akitokea mwenye huo uwezo wa kulipa bili au kua na hela anajichukulia mzigo kiulaini tu Eeeh!?
Nafikiria ugomvi utakao ibuka kugombania kitombeo/tango langu[emoji123][emoji123][emoji123]Hahahahahaa. Na mie nianze kuvaa madera
Hahaha, naona natafuta kukimbiwa ( km ile Uzi ) ,karibuNakuja kunywa.