Na kitambi chake kabisa haoni haya!!!!Alinunuliwa na mwanaume mwenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kitambi chake kabisa haoni haya!!!!Alinunuliwa na mwanaume mwenzie
Utungo ndo nini?
Mida uliyo andika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tungi saa hizi mkuu? Zimeisha zote saa hizi
Mchumba we wajua pale hapana madhara na mimi.
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
hahahaMwenyewe nimesoma nikagundua nimewavuruga
Kaingia cha kike.Punguza pombe.....maandishi hayaeleweki ...we ni mdangaji...leo umekutana na kimeo
Kumbe shida ni kuwa tu hajafika price tag yako!!?Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.