Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe shida ni kuwa tu hajafika price tag yako!!?
Ungeachana na hayo ya kumwita mshamba!!! Sema tu anashoboka hana hela na wewe upo kwenye business
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umekoma .. Sa nane usiku upo macho kidume kalewa kalala.. Muwege mnatuletea hizo papuchi tuziparureee hadi majogoo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeSipotezagi muda na watu km ninyi huwa moja kwa moja geto kuzuia kashfa km hizi.
Hizi stori kuna part huwa mnaruka[emoji23] [emoji23]
Kwakweli maana ndio naamka.Shoga na wewe utakua una usingizi
Wala sijakoma. Maana ni mtu tu nilimkuta mezani akanishobokea. Sikumfuata yeye ila kulikua na kiti karibu yake akajua na mimi ndo kama wale wanawake wanaitwaga wanagawanaUmekoma .. Sa nane usiku upo macho kidume kalewa kalala.. Muwege mnatuletea hizo papuchi tuziparureee hadi majogoo.
Hahaha siamini km huu uzi ni wako [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hivi kweli ni ww au umemwandikia mtu?Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
Helloooo. Mbona hamuelewi. Simjui ndo kwanza nilimkuta mezani. Anyways mtakavyowaza mtajua wenyeweKumbe shida ni kuwa tu hajafika price tag yako!!?
Ungeachana na hayo ya kumwita mshamba!!! Sema tu anashoboka hana hela na wewe upo kwenye business