Wanaume mna shida sana

Wanaume mna shida sana

sibiri akuwekee ugolo kwenye ulabu ..ndio utajuwa kuwa unaliwa au hauliwi... he he hehe
Tulikua wengi na karibia wote ni kaka zangu angepata wapi hizo nguvu za kujitia ana genye sana?
 
Tulikua wengi na karibia wote ni kaka zangu angepata wapi hizo nguvu za kujitia ana genye sana?
hahaa sasa hauku sema kuwa mlikuwa mobb...hapo sawa ""hapo ataishia kuchukua namba za Simu tu"" na kwenda kukupigia nyeto tu home kwake
 
Wadada wanywaji bwana, hadi saa ngapi usiku upo nje ya nyumba yako? It's very easy to be lured by predators.

Ndio maana ujanani sikuweza kudate nao.
 
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
Aiseeeh

Nmebak mdomo waz[emoji46]
 
Back
Top Bottom