Wanaume mna shida sana

Wanaume mna shida sana

Sio mtu mfupi wa bongo movie. Mtu mfupi mwenye mahela. Nina hasira nakaribia kupasuka. Nakujia pm sasa hivi.
Mmh huyo mfupi sijammanya bado ukuje assap huko pm sipati notification kabisa leo za jf nipo kama kipofu
 
Hapana wakunyumba. Huyu ni kama wale wengine wanaodanganywa. Kuna vitu vingi vinaendelea hata mimi navishangaa. Nadhani it's time natakiwa kusema halafu niachane na hili jambo.
Wadharau tu na kuwapotezea endelea na mambo yako
 
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
Mzigua unazingua wala hausomeki ujue. Bill nipe mie.
 
Back
Top Bottom