Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah next time uwape notice ya dk 15 kuhama meza kama hawajiwezi😀😀😀😀Bwana sikumfuata. Nilimkuta mezani.
Bday yake si ilipita mbona sijaona mapicha picha ukiyapostPicha ya nini? Niliweka picha ya glass za champagne kule kwenye uzi wa weekend. Mtu mfupi alikua anafanyiwa bday ya kishkaji jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatakiwa umzoee tu ukimzoea mtu hakupi shidaYani huyo sijui kawaje akiniona. Akiniona nachambwa roho yake kwatuu
Hapana wakunyumba. Huyu ni kama wale wengine wanaodanganywa. Kuna vitu vingi vinaendelea hata mimi navishangaa. Nadhani it's time natakiwa kusema halafu niachane na hili jambo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatakiwa umzoee tu ukimzoea mtu hakupi shida
Mmh huyo mfupi sijammanya bado ukuje assap huko pm sipati notification kabisa leo za jf nipo kama kipofuSio mtu mfupi wa bongo movie. Mtu mfupi mwenye mahela. Nina hasira nakaribia kupasuka. Nakujia pm sasa hivi.
Wadharau tu na kuwapotezea endelea na mambo yakoHapana wakunyumba. Huyu ni kama wale wengine wanaodanganywa. Kuna vitu vingi vinaendelea hata mimi navishangaa. Nadhani it's time natakiwa kusema halafu niachane na hili jambo.
Mzigua unazingua wala hausomeki ujue. Bill nipe mie.Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
Mwenza nini tena jomoniii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni G huyo
Steve nyerere humjui?Mmh huyo mfupi sijammanya bado ukuje assap huko pm sipati notification kabisa leo za jf nipo kama kipofu
Mumu wangu upoooMwema nini tena jomoniii[emoji23][emoji23][emoji23]