Wanaume mna shida sana

Wanaume mna shida sana

Hahahahahahaa. Jana nimekunywa Moet na Heineken mdogo wangu. Mjini vinywaji hivyo vinauzwa wapi?
Sasa mbona ulichoandika hakieleweki?
Njoo hukuu Vingunguti nikupeleke tunywe cocktail za kibabe!
Ina ponya hadi kansa hiyo
 
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela ya kulipa bill hana halafu anashoboka na mimi.
Wanaume tafuteni hela mtumie msitie aibu wakati wa kulipa Bill.
Kumbe tatizo ni kutokua na hela ya kulipa bili tu? yaani akitokea mwenye huo uwezo wa kulipa bili au kua na hela anajichukulia mzigo kiulaini tu Eeeh!?
 
Kumbe tatizo ni kutokua na hela ya kulipa bili tu? yaani akitokea mwenye huo uwezo wa kulipa bili au kua na hela anajichukulia mzigo kiulaini tu Eeeh!?
Hapana. Yeye hanijui ndo maana akaniona kama akinientertain atanibeba. Niliwe kisa bill? Ila kidogo mwanaume anaelipa bill unakua na uhakika hata anaweza kukusaidia siku ukikwama mkianza kuhusiana
 
Nafikiria ugomvi utakao ibuka kugombania kitombeo/tango langu[emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom