Wanaume mna shida sana

Hapana. Yeye hanijui ndo maana akaniona kama akinientertain atanibeba. Niliwe kisa bill? Ila kidogo mwanaume anaelipa bill unakua na uhakika hata anaweza kukusaidia siku ukikwama mkianza kuhusiana
Hii ndio naijua leo
 
Sasa ndio umekataa nini na umekubali nini?! soma comment yako tena uielewe,
Ukweli unabaki palepale tu kua akitokea mwenye pesa anabebe mzigo kiulaini tu kwa mujibu wa maelezo yako.
 
Hawezi kubeba mzigo pale pale. Tutazoeana japo siku mbili tatu. Na nina wanaume hata waweje sitembei nae yeye ni mmoja wapo. Kwahiyo nilishangaa tu baba zima na kitambi hana hela ya kununua absolute vodka
 
Basi tumevurugana maana mpaka sasa hakuna aliyeelewa huu Uzi,,kunywa supu kwanza utuhadithie vizuri
 
Hahahaha! mkuu nilielewa toka mwanzo kua hili ni tangazo ila nilitaka tu kuupima uelewa wa mleta tangazo,hili tangazo inabidi lilipiwe tu!
Lol. Natangaza kwamba ukilipa bill unakula mzigo au?
 
Hawezi kubeba mzigo pale pale. Tutazoeana japo siku mbili tatu. Na nina wanaume hata waweje sitembei nae yeye ni mmoja wapo. Kwahiyo nilishangaa tu baba zima na kitambi hana hela ya kununua absolute vodka
Eeh,hii bahati ya japo kuzoeana ,wengine imetupita pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…