Wanaume mna tatizo gani?


mhh maneno makali hayaa lakini nimekuelewa ikizidi nitafanya hivyo kwa sasa let me just be cul
 
Achana nae huyo hana maana . Ni pm namba yako nikwambie maneno ya busara mtoto mzuri .
 

hata ukiwa na uhakika kuwa sikulala nae itakusaidia nini?
Nilikuwa najua jina la kwanza la huyu kaka,,na ni common name kama james n.k but sikujua his last name.Ningepaswaje kujua its the same person?
Kuhusu kuwa jembe la shoka au la mche wa sabuni hayo wajua wewe
 
Usimsaliti rafiki yako..kaa mbali na huyo shemeji mshenzy, potea namba yake, usipokee wala kujibu simu/text..!

siwezi dia,nimeisave no yake kwamba akipiga nisipokee ngoja ninunue simu nyingine ili nimuweke kwenye block list huyu mchina wangu hafai
 
nataka nikuamishe mwanza darling . Utoke kwenye hayo mawe nikulete paradiso mpnz . Hakika utajuta.

hujui uzuri wa yale mawe wewe,ushawahi kuogelea baharini weye?halafu ukichoka unakaa juu ya jiwe unaota jua!mwanza raha enhe huko paradiso ndo wapi
 
Kabla sijachangia naomba unijibu, baada ya ndoa yake kaendelea kufukuzia huyo sungura?
 
ameshanipgia simu kama mara 3 sijapokea sitaki hata kumsikia,basi huyo rafiki akinipgia cm anasema y anakusalimia huwa natetemeka sana kwa hasira,
Na bado unamficha rafiki yako? Lazima una yako wewe. Mie nilikuwa nasubiri PM yako kumbe una mengine tokea 2007? Nakupotezea.


EMT, mambo niaje jombaa?

Salama bandugu. Za kifungo? Akina FF na wengine hawajambo huko selo?
 
next time kuwa firm,ukisema NO maanisha ni NO,ukisema no afu ukakubali kutoka na huyo mtu unampa mtu fursa ya kuendelea kukushawishi na kukutumia na anaweza hata kukubaka once umelewa,so kwangu mie kumkatalia mtu ni kutompa false hopes kwamba 'unamfikiria'.....NO drinks No outing.....not in my mind at all....
 
hawana kosa lolote, umeombwa ukadengua ulitaka akapige nyeto. Jua kijana shabab lazima awe na demu kwanza then ndio egoli zenu zifuate.
Mambo juma na roza kitambo sana
 
trust me bro,he's never got that chance.n never will he


et "trust me"..khaaa.. Who r u to be trusted... Mabint nyie wa kisasa.. Never.. By the way tuaminije kama hujamegwa..! Nenda hukooo
 
 
et "trust me"..khaaa.. Who r u to be trusted... Mabint nyie wa kisasa.. Never.. By the way tuaminije kama hujamegwa..! Nenda hukooo

i am me to be trusted by my bro nat you.
 

nimekuelewa ahsante neema.
 
Maskini huyo rafikiyo kajua kapata mme kumbe kicheche,lah iko kazi mambo ya mahusiano yana kazi sana
 
Maskini huyo rafikiyo kajua kapata mme kumbe kicheche,lah iko kazi mambo ya mahusiano yana kazi sana

too bad for her,,mapenzi yana kazi sana mheshimiwa,mimi siyataki kaabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…