Wanaume mna tatizo gani?

Wanaume mna tatizo gani?

Mpaka ndani........

Lakini hujanijibu kitu moja ol the times huyu jamaa anapiga makasia wewe ulikuwa single???? As kama ulikuwa in a relation nawe pia ulikuwa astray.....if yu were single MODs please sitisha zoezi till further notice

nilikuwa kwenye relationship kama mbili zisizo na mafanikio kati ya mda huo wa miaka 4.,
 
Shida yenu nyie wadada mnakuwa kama sungura sizitaki mbichi hizi, kumbe umeshindwa, tulieni nyie acheni kushoboka
 
Dada,yani kupatwa na mkasa huo kwa mwanaume mmoja umeamua kujumuisha wanaume wote?! Sioni uhalali wako kuuliza kama kwamba ni tatizo la wanaume wote! Yani na mimi nikisema yaliyonikuta kwa mpenzi wangu mambo yake maovu ningepata haki ya kuhoji wanawake mnamatatizo gani!? Si sahihi kwa kweli coz matatizo ni sehemu ya wanadamu na tuko tofauti sana vichwani mwetu na akili zetu..... Mbona wake za watu wanatutaka baadhi yetu wanaume na hatujahoji kihivyo?!
 
too bad for her,,mapenzi yana kazi sana mheshimiwa,mimi siyataki kaabisaa.
ETIII? Hapo kwenye red, naona wewe unasema longo sana. Tupe siri ya kutoyataka mapenzi? au wewe ni bingwa wa ma-dildo?
 
Dada,yani kupatwa na mkasa huo kwa mwanaume mmoja umeamua kujumuisha wanaume wote?! Sioni uhalali wako kuuliza kama kwamba ni tatizo la wanaume wote! Yani na mimi nikisema yaliyonikuta kwa mpenzi wangu mambo yake maovu ningepata haki ya kuhoji wanawake mnamatatizo gani!? Si sahihi kwa kweli coz matatizo ni sehemu ya wanadamu na tuko tofauti sana vichwani mwetu na akili zetu..... Mbona wake za watu wanatutaka baadhi yetu wanaume na hatujahoji kihivyo?!

pole au hongera kwa kutongozwa na wake za watu.Lakini ukiangalia kiundani utaelewa nilichomaanisha.,na sio tu kwamba nimegeneralize wanaume wote.
 
Kabakabana unanikumbusha nilivyokuwa Copacabana Beach.
 
jamaa dah! Kwa kweli ni mkali haswaa. Mpaka alikukonyeza?
 
That's how a man is suppose to behave...sio kujifanya haujamuona ila pia ni kuwa hauna habari na kinachoendelea hapo ulipo zaidi ya huyo uliyenaye tu..

Are you sure? Then hujaona hii dunia ilivyo na ubaguzi....so are u supposed to close ur eyes?
 
Back
Top Bottom