Wanaume mnajidanganya kwa hili

Kazi nzuri kunako 6 kwa 5 aise inategemeana na mwanamke yukoje.
Ukiwa na mwanamke yuko bomba aise mambo huja automatically.
Wanaume tujitahidi kuoa wanawake wazuri na wanao vutia

[emoji375][emoji375]
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]ndio maana Mimi nimenogewa kwa mchepuko,nilichemka kufanya uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daa mm cjaelewa kipaumbele chako had saiv Kati ya pesa na kibo!, maana kufika kibo ni maamuzi bnafsi na kuridhia!,,(hisia) na pesa ni vitu viwili tofauti kabisa!!!!!
 
Kwa upande wangu mm kama Lily,napenda mwanaume anipe Muda wake zaidi..Yani kitendo cha kunipa MUDA WAKO hiyo ni faraja sana kwngu,najua ndani ya huo muda wako nitapata kila kitu,,"YOUR TIME"
Una miaka mingapi mana interest yako inaonesha una upekee flani mana kwangu nafahamu mwanamke at least apate mambo manne 1.pesa I mean mahitaji 2.time umpe muda wa kuwa nae 3.game ya maana kunako 6*6 na ya 4. Umsikilize japo wengine hatawaridhika lkn angalau ndo mana bible inasema mwanaume ampende mkewe na aishi nae kwa akili kwa sababu hawahitaji kitu 1 tu kama mtoa mada alivyosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nina miaka isiyopungua 26.
Ndio sababu nilisema niko na mtazamo wa tofauti wa wengine...
 
Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa

Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?

Mkuu mwanamke anapenda mambo mawili pesa na ishu za kitandani....hapo utakuwa umemaliza kila kitu....ila sio wote wanawake wakichaga wanapenda hela tu.
 

Mambo mawili at a time, basi inaonesha yanategemeana. Wewe mwenyewe inaonesha huwa unamsaliti mpenzi wako mpiga kazi ili upate pesa ya kuendendeshea maisha.
 
Ni kweli upo sahihi,kitombo kzur pesa kdogo mademu huwa wanatulia
 
Kwa upande wangu..
Hofu ya Mungu,upendo,msimamo,maono,kukaa katika nafasi yake ipasavyo Ni sifa za mwanaume bora

Wanawake huwa hatuhitaji pesa
Pesa Ni ziada ila Ni muhimu kwa ajili ya kulea familia Mtakayojaaliwa......maono ndio yatakayompa pesa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…