Tee wife material
JF-Expert Member
- Jan 15, 2019
- 323
- 350
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nmependahiokwa upande wako ila siownawake wote wapo kama wewKwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli
Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana
Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge
Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM
Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes,I know her avatar as the citizen of Democratic republic of Jamii forum.Do you know Meeyah mkuu???
Hongera aiseee duhSex sio mashindano, niliridhika. Mkojoze wako mabao 12 itapendeza mkuu
Who are you mkuu???Huo sio upendo. Hapo mtaishi kwa sababu fulani. Kwenye maisha ya mapenzi kuna mengi ya muhimu zaidi ya sex. Mfano huyo anayekufikisha kibo siku akiumwa kisukari akashindwa kusex maana yake hutompenda tena?
Mnatufanya wengine tunaona wivu jamaniIt wasn't a sex rally, just a world of our own
Unawish nini mkuu?? Bibie ananitamanisha ujueAiseeee i wish.............
Si wanasemaga mbali mbinguniYupo mbali kidogo
Hiyo "tafadhari" au?? Mimi ntasema "tafadhali" hapo vipi??Ha haaa hayo maandishi tu yananitoa mbio
Ulikuwa unaanza kumfikiria ili mimi nisitishe harakati???🙄🙄🙄Ha haaa hayo maandishi tu yananitoa mbio
Embu jamani nyie wanawake kaeni pamoja mje na tamko moja..mnatuchanganya,leo mnataka hivi,kesho mnataka kile,,yaani vurugu tupu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mweh
Are you chloe O'Brien???Mtusamehe muda mwingine akili zetu twazijua wenyewe
Acha stories tafuta pesa aiseee1. Unafanyaje wakati moyo unauma na kutokupenda????
2. Yule ambaye umemsaliti akijua atajisikiaje???
3. Jaribu kujiweka katika nafasi ya uliyemsaliti halafu tafakari.
Performance kwa bed unaipa nafasi gani?Kwa upande wangu..
Hofu ya Mungu,upendo,msimamo,maono,kukaa katika nafasi yake ipasavyo Ni sifa za mwanaume bora
Wanawake huwa hatuhitaji pesa
Pesa Ni ziada ila Ni muhimu kwa ajili ya kulea familia Mtakayojaaliwa......maono ndio yatakayompa pesa...
Sent using Jamii Forums mobile app
SijajuaPerformance kwa bed unaipa nafasi gani?
Kutafuta Pesa sio tatizoAcha stories tafuta pesa aiseee
Mapenzi ya wizi yanavyonoga sijui kama hutamsumbua mpenzi wako, kumbuka huyo utakaye lala naye atafanya nawewe kwa sifa kufidia pesa yake pengine akuachie na zawadi ya UKIMWI ukagawane na mumeo.Kama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupenda
Sent using Jamii Forums mobile app