Wanaume mnajidanganya kwa hili

nmependahiokwa upande wako ila siownawake wote wapo kama wew
 
Performance kwa bed unaipa nafasi gani?
 
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
 
Kama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ya wizi yanavyonoga sijui kama hutamsumbua mpenzi wako, kumbuka huyo utakaye lala naye atafanya nawewe kwa sifa kufidia pesa yake pengine akuachie na zawadi ya UKIMWI ukagawane na mumeo.

Miaka michache baadaye mnaanza kuumwa mara kwa mara hadi mnapoteza uwezo wa kutafuta pesa japo kwa shida. Mtahitaji kupata chakula kizuri na hamtapata kwakua hamna pesa na uwezo wa kufanya kazi umezorota.

Ogopa sana kutafuta pesa kwa kuwatunuku wanaume kitumbua chako



Mkorintho wa 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…