Wanaume mnajidanganya kwa hili

Pesa ni muhimu ila haiwezi kuuzidi upendo!
Ukiona mwanamke anahangaika sana na pesa za mwanaume elewa tu hamna upendo hapo.yupo kimkakati zaidi!
 
Ninyi hamliziki hata uwe na vyote

mpuuzi mpuuzi tu
 
Tatizo la kila mwanamke yupo tofauti mwingine usipo mnunulia dera ndani akukaliki mwingine usipo kuwa na ela unapigiwa nje
 
aiseee mwanamke ata ukimpa bao kumi konki bado atakusaliti tu kwa namana yeyote ile,wanawake ukisha wajua ni kama watoto wa dogo

kama dem wangu nilivyo mpata ndivyo na wengine watavyo mpata maaana maneno hayalipiwi na uongo wa wanaume na wanawake ni ulele sema hua tunakaushiana tu kimtindo

mtoa mada kwa point ya ujuzi kitandani haiwezi kua-sababu ya kudum katika mahusiano

yule unaemzania anaweza kwa 999999999% kwa wengine ndio kwanza wana 2%
 
Mh uzuri wapiga show tumebaki wachache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu mm kama Lily,napenda mwanaume anipe Muda wake zaidi..Yani kitendo cha kunipa MUDA WAKO hiyo ni faraja sana kwngu,najua ndani ya huo muda wako nitapata kila kitu,,"YOUR TIME"
Lily ningependa kukufaham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…