Pesa hamna, game zero nani awatake?hatupendi mama' tumekosa hifadhi tu.
Ha haaa hayo maandishi tu yananitoa mbiomfuta machozi ya meeyah nipo hapa!!! naomba nifikiriwe tafadhari
aisee kwa hali hii makapuku tuendelee tafuta pesa kwa bidii, otherwise watoto wazuri kama nyie tutaendelea waita mashemeji tu.Pesa hamna, game zero nani awatake?
Hilo nenoaisee kwa hali hii makapuku tuendelee tafuta pesa kwa bidii, otherwise watoto wazuri kama nyie tutaendelea waita mashemeji tu.
usitoke nduki tafadhari,ntakusaha ulisha mapito yako yote ya nyuma. Kizuri share na mwenzio meeyahHa haaa hayo maandishi tu yananitoa mbio
ntalizingatiaHilo neno
Na wanaume wanaofanyaga hivi kama utkavyo wewe huishiaga kuliaKwa upande wangu mm kama Lily,napenda mwanaume anipe Muda wake zaidi..Yani kitendo cha kunipa MUDA WAKO hiyo ni faraja sana kwngu,najua ndani ya huo muda wako nitapata kila kitu,,"YOUR TIME"
Na wanaume wanaofanyaga hivi kama utakavyo wewe huishiaga kuliaKwa upande wangu mm kama Lily,napenda mwanaume anipe Muda wake zaidi..Yani kitendo cha kunipa MUDA WAKO hiyo ni faraja sana kwngu,najua ndani ya huo muda wako nitapata kila kitu,,"YOUR TIME"
Good Boy!ntalizingatia
Mwehusitoke nduki tafadhari,ntakusaha ulisha mapito yako yote ya nyuma. Kizuri share na mwenzio meeyah
Huo ndio ukweli kakaa,!!Asili ya mwanamke hakuumbwa kupendaMwanamke hakubwa kupenda . Mwanaume ndie aliumbwe kupenda. Tembea sehem mbalimbali hata ulimwengu Kwa wenzetu walioendelea mwanamme ndio hutongoza 95% ya mahusiano ila mwanamke huangalia atanufaikaje na hayo mahusiano ndio akubali. Ata asses pesa, cheo, elimu pia akitoa gemu huangalia uwezo wa mwanaume 6x6. Ila wanaume upendo hutoka moyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
haha Mimi sitaenda mbali kama yeye " nitakuwepo hapa hapa kwa nyererere kwa ajili yako"Mweh
Mwanamke mzuri siyo wa kuoa...yaani utat....om...be..wa mpaka mwisho...Kazi nzuri kunako 6 kwa 5 aise inategemeana na mwanamke yukoje.
Ukiwa na mwanamke yuko bomba aise mambo huja automatically.
Wanaume tujitahidi kuoa wanawake wazuri na wanao vutia
[emoji375][emoji375]
kwa kifupi ni kwamba huyo na malaya kama wengineUlichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa
Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?