Wanaume mnajidanganya kwa hili

Wanaume mnajidanganya kwa hili

Ayo mawazo yako yalikua ni zile zama za kale za mawe wakati ambapo kulikua hakuna pesa watu walikua wanabadilishana vitu.ila toka pesa ilipoumbwa wanawake wakachanganyikiwa.nadhani pesa ina pepo kwa mwanamke.Sasa hivi ata ujue kusugua vip kama huna salio ata ayo mapenzi yenyewe kiuno utakua unakatiwa kwa kuhesabiwa mizunguko.
 
Embu jamani nyie wanawake kaeni pamoja mje na tamko moja..mnatuchanganya,leo mnataka hivi,kesho mnataka kile,,yaani vurugu tupu
 
Kwa upande wangu mm kama Lily,napenda mwanaume anipe Muda wake zaidi..Yani kitendo cha kunipa MUDA WAKO hiyo ni faraja sana kwngu,najua ndani ya huo muda wako nitapata kila kitu,,"YOUR TIME"
Na wanaume wanaofanyaga hivi kama utkavyo wewe huishiaga kulia
I'm not the one
 
Kwa upande wangu mm kama Lily,napenda mwanaume anipe Muda wake zaidi..Yani kitendo cha kunipa MUDA WAKO hiyo ni faraja sana kwngu,najua ndani ya huo muda wako nitapata kila kitu,,"YOUR TIME"
Na wanaume wanaofanyaga hivi kama utakavyo wewe huishiaga kulia
I'm not the one
 
Asili ya mwanamke hakuumbwa kupendaMwanamke hakubwa kupenda . Mwanaume ndie aliumbwe kupenda. Tembea sehem mbalimbali hata ulimwengu Kwa wenzetu walioendelea mwanamme ndio hutongoza 95% ya mahusiano ila mwanamke huangalia atanufaikaje na hayo mahusiano ndio akubali. Ata asses pesa, cheo, elimu pia akitoa gemu huangalia uwezo wa mwanaume 6x6. Ila wanaume upendo hutoka moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ukweli kakaa,!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi nzuri kunako 6 kwa 5 aise inategemeana na mwanamke yukoje.
Ukiwa na mwanamke yuko bomba aise mambo huja automatically.
Wanaume tujitahidi kuoa wanawake wazuri na wanao vutia

[emoji375][emoji375]
Mwanamke mzuri siyo wa kuoa...yaani utat....om...be..wa mpaka mwisho...
 
Ulichoandika hapo inaonesha bado hujaridhika na uliyenaye...kama umeridhika na huyo anayekufikisha huko kibo na mawenzi hutakiwi kubabaishwa na mwanaume mwingine sababu ya pesa

Kama pesa kwanini msitafute kihalali wewe na huyo bwana ako?
kwa kifupi ni kwamba huyo na malaya kama wengine
 
Back
Top Bottom