Wanaume mnajidanganya kwa hili

Wanaume mnajidanganya kwa hili

Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Performance yako kunako 6*6 ikoje?

Utuambukize migonjwa!!?....sasa hivi tako tatu tu mtu anakojoa hamna kuchubuana!!!
 
Hi nadhani ni kwako binafsi koz binafsi yangu kama ni show napiga za ukweli na stil mwanamke hatuli. swala la kuwa mwaminifu na kutulia na mwanaume mmoja hii ina tegemea na tabia ya mwanamke mwenyew. Wengi wana penda maisha ya kuomba omba kugeuza kila mwanaume anaye kuwa naye kama mzazi wake. unakuta huyu wa vocha huyu wa outings mwingine wa trip za mikoa etc. so mwanamke kama huyu umwambie atulie umfungulie hata kabiashara awe busy anaona ana loose vingi bora aendele na maisha yake ya kudanga kambi popote ili mradi ana enjoy life
 
Hakuna mtu anayependa kuishi maisha ya shida au kunuka jasho,hapa tunadanganyana tu.Wanaume tutafute pesa,haya mambo ya kufarijiana hapa ni uongo,ata punda anajua kungonoka.
 
Nishashuhudia Zaidi Ya Ndoa 10 Zikivunjika Chanzo Kikiwa Ni Umasikini Wa Mwanaume.

Je! Mtoa Mada Unataka Kuniambia Wanaume Hawa Wote 10 Hawakuwa Vizuri Kitandani?
 
Hata wale wanaokaa na viben10,baada ya muda huwa wanawatimua wakatafute pesa
 
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo yako wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wewe apo na sio wanawake!
Upendo unatoka ndani ya moyo! Langu ni hilo tuu!
 
Sidanganyiki na hadithi za Sungura na Fisi
Pesa pesa pesa
 
Kama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Unafanyaje wakati moyo unauma na kutokupenda????
2. Yule ambaye umemsaliti akijua atajisikiaje???
3. Jaribu kujiweka katika nafasi ya uliyemsaliti halafu tafakari.
 
Kama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
kama ikikosekana linafikia stage yakwenda kuchechwa ww n makalio kweli yn hyo unaempenda atakaposikia umeliwa ili upate pesa hatokupenda daima mamayee yan kote umeandika point ila hapo kwenye kuliwa kwaajil yakumpendezesha akupendae kumanina umeharibu nmepanic live
 
Yani ukaliwe nje for money then uje unipe pesa haramu? Ama kweli mtatua nyie
 
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli

Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye vizuri kitandani,anayenifikisha kibo na mawenzi,huyo hakika ni moyo wangu,na haiwezi ikapita SAA 1 sijakuuliza uko wapi,au kukuulizia kitu chochote na kama hana hela namwelewa sana,na naona kawaida tofauti na yule ambaye kitandani hayupo vizuri halafu nikuombe hela ,huna ntanuna na naweza kukuona kama takataka Fulani na unavyojua wanawake tunadharau sana

Mwanaume hata kama una kidogo,kwa ajili ya matumizi madogomadogo ila unajituma 6×6,Wewe nakung'ang'ania mpaka basi,hata kama tumepigika tajiri mmoja akaja kuomba gem nampa ili nipate hela za kutumia na mpenzi nimpendaye ila siwezi kumwambia hela nimetoa wapi ,naweza kumwambia nimekopa madam maisha yetu yasonge

Wewe mwanaume hebu jitume umfikishe kibo na mawenzi mpenziwe halafu mnyime hela uone kama huyo mwanamke atanuna au atakuacha,hakuachi ng'oo,hata kama amekufumania hawezi kukuacha lakini kama hufanyi kazi au unafanya blah blah basi jiandae kuachwa au kuwa ATM

Mwanaume tafuta pesa na piga kazi 6×6 uone,mwanamke atatulia kama maji ya mtungi atakuheshimu kama baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba Friendly match

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom