Wanaume mnajidanganya kwa hili

Wanaume mnajidanganya kwa hili

Kama imeshindikana kabisa kupata hela ya kula ndo nafikia hicho kiwango ila sijamaanisha namuacha na hata hivyo nitakuwa nafanya moyo unauma,sio kwa kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ya kweli yanavumilia, hivi unafikiri mwenzio akigundua kuwa unamcheat unafikiri atakua na imani na hayo unayoyasema eti unacheat ili msihangaike. Hahaha ..we mchepukaji sana inaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu mm kama Lily,napenda mwanaume anipe Muda wake zaidi..Yani kitendo cha kunipa MUDA WAKO hiyo ni faraja sana kwngu,najua ndani ya huo muda wako nitapata kila kitu,,"YOUR TIME"
Unataka Muda so ununue SAA
 
Unajua hata kahaba yawezekana ana mtu wake anayempenda lakini kuna mwingine anampa huduma ya ngono kwa sababu ya fedha, sioni tofauti na wewe labda kahaba yeye anafanya biashara ya ngono kwa uma (public sector) wakati wewe unafanya kwa mtu binafsi (public sector) .

Sasa tajiri unampa kwa uwezo wake kifedha, anayekufikisha hata kama maskini unampa kwa uwezo wa utendaji.

Tuseme tu, kila mtu yoyote atakula kwa urefu wa kamba yake linapokuja suala hitaji la kutumia mwili wako ama awe na pesa au uwezo wa kiutendaji wote wana nafasi.

Halafu unajuaje kwamba huyu yuko vizuri kitandani?? si unafanya nae??? Utafanya na wangapi mpaka kumpata mtendaji kazi sahihi???

Your vagina is public toilet for the civilians.
Duh nimecheka kwa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante, ila naona kama unatuhadaa. Kwenye Uzi wako huu mfupi umetaja neno pesa/hela zaidi ya Mara nane.Mpaka hapo hujaona unyeti wa hii kitu.
Huyu katumwa na baadhi ya wanaume Ili kupoteza malengo ya wanawake. Wakina dada sikuhizi ni pesa pesa hata usemeje, wataona anawazingua tu. Afu Uzi hauna logic, haieleweki kipi anatetea km aliye na pesa anagongewa na fundi, na fundi akichalala anaweza gongewa na mwenye pesa, sasa kuna sababu gani ya huo uzi? Basi kila mtu afe na chake
 
nishamgonga dem mpaka akapiga ukunga kama ananyongwa na hapo nlimkojoza mara nn tena mpaka akasquirt lakini nlipomwambia sina elfu 30 ya kusuka wallah tena aliniacha na kutafuta jamaa mwenye hela zake siku hizi demu anakaa kwenye aapartment masaki mi bado najisifia nlimpiga paipu nzuri

kumuelewa mwanamke labda umpige ngumi kila siku
 
Wanaume tumeumbwa mateso.... Yaani uhangaike kutafuta mke ndo ukutane na aina hii ya mke si anakuandalia kifo mapema,.... Yaani hajui anatafuta nn na anaridhishwa na nn... Kampenda anayemridhisha, ila anawaza kumuumiza na kumvunjia heshima kwa kuchepuka ili apate pesa... Hahahaaa, vimeo hivi vimeumbwa kwa ajili yetu atii... Ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom