asantee ni kweli unachosema, sema tumekremisha mambo kua bila pesa mapenzi hayaendi na eti ikikosekana kunakua na mapenzi yasiyo imara me nakataa kwa nguvu zote kitu cha kwanza unavhopaswa mtu kuangalia unapotafta mwenza ni kua na vigezo vinavyoishi, kwamba je akili yake ikoje, maisha anayaonaje, na mengine ya msingi, haya sjui macho makubwa umbo la kuvutia ni kama mashine itafikia time vita depreciate itakubidi sasa utafte mwengine ukidhi haja zamacho yako, kumbe unasahau ukishampata mwenye vigezo vinavyoishi lazima utampenda the way alivyo anaweza akawa na pesa ukampenda na pesa zake na usimuombe hata senti anaweza akawa hana hata hela ya kukuboost chochote but ukampenda hivo hivo yote n real love namapenzi ya hivi bado yapo sana tu