Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Karibu sana Madame S ukiwa na mrembo aliyekupenda kwa mapenzi na siyo kwa pesa zako basi huyo utamthamini sana kuliko yule ambaye yuko kwa ajili ya mshiko tu.
asantee ni kweli unachosema, sema tumekremisha mambo kua bila pesa mapenzi hayaendi na eti ikikosekana kunakua na mapenzi yasiyo imara me nakataa kwa nguvu zote kitu cha kwanza unavhopaswa mtu kuangalia unapotafta mwenza ni kua na vigezo vinavyoishi, kwamba je akili yake ikoje, maisha anayaonaje, na mengine ya msingi, haya sjui macho makubwa umbo la kuvutia ni kama mashine itafikia time vita depreciate itakubidi sasa utafte mwengine ukidhi haja zamacho yako, kumbe unasahau ukishampata mwenye vigezo vinavyoishi lazima utampenda the way alivyo anaweza akawa na pesa ukampenda na pesa zake na usimuombe hata senti anaweza akawa hana hata hela ya kukuboost chochote but ukampenda hivo hivo yote n real love namapenzi ya hivi bado yapo sana tu
 
Kichwani na moyoni mwako umebarikiwa sana. Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na afya njema. Ni nadra sana kuzisoma hekima na busara kama hizi humu. Ubarikiwe sana.

amyn, atubariki wote pia BAK
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole Sana kwa kukata tamaa.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahahaaa wanatabu sana, kuna best yangu mmoja aliniambia yeye akiona mpenzi wake anaanza kufungua wallet ampe pesa basi huwa anapatwa na furaha ya ajabu mno hawezi kuielezea huwa anajikuta anatabasamu la hali ya juu mno hata apewe taarifa ya kusikitisha sura yake haiwezi badilika akili yake yote inazama kwenye wallet yaan anajiskia kusisimka na upendo unaongezeka mara dufu kwa mwenzi wake. Ila asipopewa hela hicho kisirani ni zaidi ya mimba changa.
Mwambie akaolewe na benki mkuu.
 
Na sisi wenye PESA zetu tuna wakubali sababu ipi?
 
Kama mwanamke ambaye anayeenda club hawezi kuwa wife material vivyo hivyo na mwanaume anaende club hawezi kuwa husband material na kinyume chake!.
 
Yanii Mapenzi bila pesaa utakuta manzi kitu kidogo tu Ugomvi mkubwaa... Hasiraa zote huna msaada kwake zaidi ya kumpa mawazo tu.. Nimeachana na wadada wengi sana kisa pesaa.. leo anataka ya chips...sijui vocha ndo usiseme... Mara shida gania yani khaaa suala la pesa sijui.. Nina girl wangu Mmoja tu Hajawahi niomba helaa hata vocha tu hawezi sema yupo A level akifika chuo sijui...Mungu akaonekane tu maana
 
Back
Top Bottom