Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Wanaume mnajua kwanini tunakubaliwa?

Ahahahaaa wanatabu sana, kuna best yangu mmoja aliniambia yeye akiona mpenzi wake anaanza kufungua wallet ampe pesa basi huwa anapatwa na furaha ya ajabu mno hawezi kuielezea huwa anajikuta anatabasamu la hali ya juu mno hata apewe taarifa ya kusikitisha sura yake haiwezi badilika akili yake yote inazama kwenye wallet yaan anajiskia kusisimka na upendo unaongezeka mara dufu kwa mwenzi wake. Ila asipopewa hela hicho kisirani ni zaidi ya mimba changa.
Kuwa muwazi tu....sio wewe mwenyewe kweli???
 
Na ndio maana tukiwapataga huwa tunawazibua na mifereji ya matope na blow job za maana ili value for money iwepo dadadeki
jinsi gani umezoea sio, halaf wengine tunajiheshim mkuu hao mnaowapataga wa hivo usidhani kila mtu yuko hivo pambana na hali yako napambana na hali yangu
 
Back
Top Bottom