Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Wap uko yapo?Mbona yapo sana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wap uko yapo?Mbona yapo sana tu
Kwani wewe haujawahi pata anaekupenda kwa dhati bila kujali hela???Wap uko yapo?
Kuwa muwazi tu....sio wewe mwenyewe kweli???Ahahahaaa wanatabu sana, kuna best yangu mmoja aliniambia yeye akiona mpenzi wake anaanza kufungua wallet ampe pesa basi huwa anapatwa na furaha ya ajabu mno hawezi kuielezea huwa anajikuta anatabasamu la hali ya juu mno hata apewe taarifa ya kusikitisha sura yake haiwezi badilika akili yake yote inazama kwenye wallet yaan anajiskia kusisimka na upendo unaongezeka mara dufu kwa mwenzi wake. Ila asipopewa hela hicho kisirani ni zaidi ya mimba changa.
Tatzo ni kwamba anaekupenda nawe humpendi na we unaempenda hakupendiKwani wewe haujawahi pata anaekupenda kwa dhati bila kujali hela???
Ndo maisha yalivo ila ipo siku utapata atakae kupendaTatzo ni kwamba anaekupenda nawe humpendi na we unaempenda hakupendi
Ashapatikana na ni suala la muda tu kufika [emoji12] [emoji12]Ndo maisha yalivo ila ipo siku utapata atakae kupenda
Heheheheheheheee nakuja kule kwanza unielezee vizuri siwezi kukubali hii inipiteAshapatikana na ni suala la muda tu kufika [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] subiria kwenye interview ya Muosha runguHeheheheheheheee nakuja kule kwanza unielezee vizuri siwezi kukubali hii inipite
Sio mimi best, ni rafiki yanguKuwa muwazi tu....sio wewe mwenyewe kweli???
Hahahahahahaaaaaa nitashindwa kuvumilia kwa kweli bora uniambie mapema tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] subiria kwenye interview ya Muosha rungu
Na ndio maana tukiwapataga huwa tunawazibua na mifereji ya matope na blow job za maana ili value for money iwepo dadadekimhhh wengine hatuko interested na pesa zenu mkuu
jinsi gani umezoea sio, halaf wengine tunajiheshim mkuu hao mnaowapataga wa hivo usidhani kila mtu yuko hivo pambana na hali yako napambana na hali yanguNa ndio maana tukiwapataga huwa tunawazibua na mifereji ya matope na blow job za maana ili value for money iwepo dadadeki