Wanaume mnajua mna matatizo

Wanaume mnajua mna matatizo

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie!

You don't even put a ring on it alaf unataka mwanamke akusubiri? Akija mwanaume mwingine amkatae kisa anakusubiria wewe ati unajitafuta! Na ata ukijipata mwanamke anakuwa hana uhakika kama utaendelea kua nae!

Mjiongeze kidogo kama unataka mwanamke akusubirie basi oa. Msitupime uvumilivu wetu! Nikusubirie ukishazipata uende kuoa mwingine mi nikae nakodoa macho. Kwendeni zenu kule! Mama yako tu ndo anaeza kukusubiri ujitafute kwa miaka yote iyo.
 
Jipigepige mfukoni na kwenye maziwa mwambie baby kuna hutu tumilioni kadhaa aharakishe hilo jambo

Nikifikiria ndoa nashindwa kuielewa hii chuma
FB_IMG_17323448164180708.jpg
 
Back
Top Bottom