Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,382
- 1,881
Eeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa akijipata ndo atafute aoe sio umsubirie, kwa kipi? Wapokeeni wanaotaka kuoa tu wengine wote hamna kitu, kitumbo kikijaa huyo huyo hataki single mom mfukuze Wala usimzoee.Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie!
You don't even put a ring on it alaf unataka mwanamke akusubiri? Akija mwanaume mwingine amkatae kisa anakusubiria wewe ati unajitafuta! Na ata ukijipata mwanamke anakuwa hana uhakika kama utaendelea kua nae!
Mjiongeze kidogo kama unataka mwanamke akusubirie basi oa. Msitupime uvumilivu wetu! Nikusubirie ukishazipata uende kuoa mwingine mi nikae nakodoa macho. Kwendeni zenu kule! Mama yako tu ndo anaweza kukusubiri ujitafute kwa miaka yote iyo.
Sijui wanafikiria kwa kiungo gani hawa viumbe😅😅😅halafu kweli 😅😅😅
Sema kweliBinti mwanaume havumiliwi anayevumiliwa ni mume jua kutofautisha
Nampenda ananipenda lakin kwa miaka yote iyo siezi subiri. Akitokea mwingine alieko serious namuachaMwenye matatizo hapo ni wewe unaemganda mtu na unajua muda haukusubiri, kama unampenda msubirie japo sio guarrantee kuwa atakuoa. Pole sana
Nyie ndo reason msitusingizie😅 Another reason to fear women.....Impatient🚮
😅😅Nyie ndo reason msitusingizie
Ndio ukweli huoSema kweli
Graphics designer wa hilo chuma alitulia ila ni rahisi sana kulishtukia kua hio ni kazi ya Photoshop Studio za Adobe na hakuna ndoa inatengenezwa Studio za Adobe PhotoshopJipigepige mfukoni na kwenye maziwa mwambie baby kuna hutu tumilioni kadhaa aharakishe hilo jambo
Nikifikiria ndoa nashindwa kuielewa hii chumaView attachment 3215606
Kwanza mtu asiyenipa pesa hata simzingatii 😅😅😅Sijui wanafikiria kwa kiungo gani hawa viumbe
DM namba au account namba kuna ten limezagaa hapaKwanza mtu asiyenipa pesa hata simzingatii 😅😅😅
Nywea Soda hilo 😅DM namba au account namba kuna ten limezagaa hapa