Wanaume mnajua mna matatizo

Wanaume mnajua mna matatizo

Ati mwanaume anakwambia honey sasa ivi mimi najitafuta kwa mda wa miaka mitatu naomba unisubirie! Hapo tayari ana kazi ambayo inamueka mjini alaf anakwambia bado anajitafuta umsubirie!

You don't even put a ring on it alaf unataka mwanamke akusubiri? Akija mwanaume mwingine amkatae kisa anakusubiria wewe ati unajitafuta! Na ata ukijipata mwanamke anakuwa hana uhakika kama utaendelea kua nae!

Mjiongeze kidogo kama unataka mwanamke akusubirie basi oa. Msitupime uvumilivu wetu! Nikusubirie ukishazipata uende kuoa mwingine mi nikae nakodoa macho. Kwendeni zenu kule! Mama yako tu ndo anaweza kukusubiri ujitafute kwa miaka yote iyo.
Sawa kabisa akijipata ndo atafute aoe sio umsubirie, kwa kipi? Wapokeeni wanaotaka kuoa tu wengine wote hamna kitu, kitumbo kikijaa huyo huyo hataki single mom mfukuze Wala usimzoee.
 
Jipigepige mfukoni na kwenye maziwa mwambie baby kuna hutu tumilioni kadhaa aharakishe hilo jambo

Nikifikiria ndoa nashindwa kuielewa hii chumaView attachment 3215606
Graphics designer wa hilo chuma alitulia ila ni rahisi sana kulishtukia kua hio ni kazi ya Photoshop Studio za Adobe na hakuna ndoa inatengenezwa Studio za Adobe Photoshop
 
Back
Top Bottom