Wanaume mnakera sana kupenda vya bure

Nisipo mtegemea mume wangu nimtegemee nani? Mzigo wenu huo mpaka mwisho wa dunia mnalo.
Kuna kushirikiana katika kujenga familia....sio vizuri kama wewe mwanamke unamtegemea mwanaume kwa asilimia mia...
 
Na ndo maana tunawala ndogo mademu kama nyie Emoj
 
Last edited by a moderator:
Kuna kushirikiana katika kujenga familia....sio vizuri kama wewe mwanamke unamtegemea mwanaume kwa asilimia mia...
Nashirikiana nae sana tu. Na halalamiki ht nisipo provide, anajua wajibu wake.
Na pia kumpa sapoti, kumliwaza, kumpikia, kumfulia, kulea watoto, usafi wa nyumbani. Hizo zote ni kazi zangu. Hapo bado mnataka tukabebe na zege?
 
Kwa hiyo unawachukuliaje wale wanawake wanaofanya shughuli zao (za kujiingizia kipato) pamoja hizo kazi ulizotaja hapo?? Unafikiri wanakosea sana kufanya hivyo??....
 
Kwa hiyo unawachukuliaje wale wanawake wanaofanya shughuli zao (za kujiingizia kipato) pamoja hizo kazi ulizozitaja hapo?? Unafikiri wanakosea sana kufanya hivyo??....
Hawakosei, ni sahihi kabisa...ht mimi nafanya. Tatizo ni wanaume wanaolalamika. Km mkeo Hana shughuli ya kufanya usilalamike timiza wajibu wako
 
Nashirikiana nae sana tu. Na halalamiki ht nisipo provide, anajua wajibu wake.
Na pia kumpa sapoti, kumliwaza, kumpikia, kumfulia, kulea watoto, usafi wa nyumbani. Hizo zote ni kazi zangu. Hapo bado mnataka tukabebe na zege?

Basi mama wamekuelewa, loh!! hope sumbai kakusoma pia
 
Last edited by a moderator:
Hawakosei, ni sahihi kabisa...ht mimi nafanya. Tatizo ni wanaume wanaolalamika. Km mkeo Hana shughuli ya kufanya usilalamike timiza wajibu wako
Serikali isipotimiza wajibu wake tuipongeze tu na wala tusilalamike?? Kumbuka serikali inatakiwa itufanyie kazi sisi na sio kujifanyia kazi yenyewe.....

Serikali ikituwekea mazingira magumu ya kufanya kazi au biashara tukae tu kimya??....tukikaa kimya nani atazungumza?

Huoni kama ni tatizo la kutojitambua kama wanawake wengi hawajui uhusiano uliopo kati ya shughuli za serikali na maisha yao ya kila siku?
 
Owkey... You have a point. Tufanye kazi sasa kama rais wetu alivyosema.
 
Owkey... You have a point. Tufanye kazi sasa kama rais wetu alivyosema.

Na wewe uwashauri wenzako waache u-goalkipa kama wengine hapa walivyosema......unakuwa goalkipa kila siku, kila mwezi na kila mwaka kwani mmeambiwa kuna tuzo zinatolewa???
 
Huyu kiche.che Emoj sio kosa lake. Yye analetewa bure ndo maana hajui tunachokitaka sisi
 
Last edited by a moderator:
Na wewe uache u-goalkipa kama wengine hapa walivyosema......unakuwa goalkipa kila siku, kila mwezi na kila mwaka kwani umeambiwa kuna tuzo zinatolewa???
Hakuna mwanamke goalkeeper , hata kama haingizi pesa yoyote lkn kuna mambo mengi ya nyumbani anafanya. (Labda kama wa kwako hafanyi)
Unarudi nyumbani unakuta kila kitu kipo okay, chakula kimepikwa,Nguo zako na watoto zimefuliwa, watoto wasafi wanapelekwa shule wanalishwa wana afya, nyumba safi, mke Ana adabu jamii nzima inamuadmire, mzigo unajimegea any time t, unachepuka tena wazi wazi anakuvumilia, Una mdunda mangumi yeye bado yupo tu na kwao Hana shida. Na mengine mengi tu unayajua. So si lazima afanye kazi ya kuingiza pesa ndio uone anafanya cha maana.
So kutuita magoalkeeper mnakosea.
Na nyie mnaoleta hela tu hamsaidii chochote nyumbani tuwaiteje? Acheni hizo banaaaaa, kila mtu atimize wajibu wake kwa nafasi na uwezo wake, serikali nayo Ina yake ya kutimiza.
 
Wewe kweli goalkipa mzoefu unatakiwa upewe kabisa tuzo ya Golden Glove....

Yaan umeorodhesha mambo yote hayo ili tu kuhalalisha mwanamke kutulia nyumbani kushinda na simu....Believe me sio mda mrefu mwanaume mwenye akili atakudharau....lakini atakuheshimu zaidi kama unaweza kuchangia maendeleo ya familia financially....

Hizo ndoa unazozungumzia ni za uswahilini (wanawake wajibu wao ni kufanya kazi za ndani) hasahasa za watu wa pwani, sasa kama na wewe bado upo huko, kweli kazi tunayo??

Ila nimefurahi umetambua kuwa serikali inayo wajibu wa kutimiza.....
 
Kweli wewe kilaza,tena kilaza mkuu. Kama thread unazopost zinareflect 100% ya mawazo yako,basi jua unakazi kubwa sana kuja kukaa sawa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…